Kwani kabila letu lina shida gani?

FundiNgoma

Senior Member
Dec 26, 2019
132
264
Ndo maana mimi binafsi maswala ya kutambulishana kwa makabila huwa sipendi naona kama inakuwaga na ka utengano flani hivi na watu wengine....

Tuachane na hayo me nauliza tu hivi kabila letu sisi watu wa huku ilipotokeaga ajali ya ndege ,sehemu pekee ambayo jiwe aliwahi twambia kila tatizo ni la kwetu

Hivi kwanini ukimtongoza tu mdada ukamwambia kuwa unatokea eneo hili anasita kidogo shida ni nini mbona tuko sawa tu!!!
 
uhaya mwingi sana
images (12).jpeg
 
Sasa hadi eti ukimwi kuanzia huko si ndo uone iko sheeder
 
Ndo maana mimi binafsi maswala ya kutambulishana kwa makabila huwa sipendi naona kama inakuwaga na ka utengano flani hivi na watu wengine....

Tuachane na hayo me nauliza tu hivi kabila letu sisi watu wa huku ilipotokeaga ajali ya ndege ,sehemu pekee ambayo jiwe aliwahi twambia kila tatizo ni la kwetu

Hivi kwanini ukimtongoza tu mdada ukamwambia kuwa unatokea eneo hili anasita kidogo shida ni nini mbona tuko sawa tu!!!
Kabila lako mwenyewe unalionea hata aibu kulitaja tutakusaidiaje wakati unajigonga mwenyewe. Ukabila na mambo ya kizamani na kishamba. Kabila letu ni watu
 
Mna shida sana , mnaweka masifa ,unafiki ,wivu katika kila kitu

Boss wangu flani alikua ni wa huko aisee nilimkwida siku moja kwa ijinga wake na ningemuulia mbali

Alipata somo siku hio pumbavu zake

Lakini pia wapo watu sio wahaya ila wana hizo tabia ulizotaja na pia wapo wahaya wana roho nzuri tu na watu wema pia me naona watu wamekariri tu...
 
Ndo maana mimi binafsi maswala ya kutambulishana kwa makabila huwa sipendi naona kama inakuwaga na ka utengano flani hivi na watu wengine....

Tuachane na hayo me nauliza tu hivi kabila letu sisi watu wa huku ilipotokeaga ajali ya ndege ,sehemu pekee ambayo jiwe aliwahi twambia kila tatizo ni la kwetu

Hivi kwanini ukimtongoza tu mdada ukamwambia kuwa unatokea eneo hili anasita kidogo shida ni nini mbona tuko sawa tu!!!
Sio wahaya wote wako hivyo basi tu watu wanakariri...... Ni sawa na mtu akisikia unatokea Sumbawanga akili yake kama ishakua brainwashed na ujinga wa kwamba swax kuna wachawi basi ataanza kukufikiria ni mchawi au uko familiar na uchawi kumbe ni upumbavu tu wa uvumi wa mambo ya zamani watu bado wanaishi nayo.......

Kuna mgogo pure mmoja hapa kitaa ana misifa sana mpaka sio poa, na pia kuna mother hivi ni mchaga maeneo flani ana misifa sio poa, sijui nao ni wahaya...Nonesense, usimjaji mtu tabia yake kwa kabila hata siku moja, utaja aibika au kupata tatizo unabaki mwenyewe hakuna wa kukusaidia..

Sisi wafipa tushazoea kusemwa WACHAWI kisa hata maana ya neno SUMBAWANGA maana yake ni SUMBA(Tupa)WANGA(Uchawi).. SUMBAWANGA = TUPAUCHAWI, Lakini si wote tunaujua wachawi..

Na sisi wasukuma na waha tunasemwa sana ni washamba ila kuna born towns kibao tu wanachemka vitu vidogo huko kwenye mizunguko ya maisha na wanasaidiwa na haohao washamba..

Laughing My *ss Off/LMAO
 
Umemaliza kila kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom