Kwani huyu mama waziri wa kilimo UAE ni mzungu au?

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,716
Nimemuona huyu mama waziri leo jncc anapiga ngeli kama mmarekani alafu kapiga suit kama kamala alafu hata hajavaa hijabu kama samia najiuliza hivi huyu waziri ni muarabu au mzungu? Au kuna wabantu wanaiga uarabu kuliko waarabu wenyewe

60-254-UAE-minister-Twitter.jpg
 
Hao ukisoma wasifu wao maisha yao na elimu yao wametumia au kuipata kwa makafili wanao wapiga mawe

Kama waziri wa mambo ya nje wa Libya

Wanaenda kusoma kwa wanao waita makafili na kuvao kama wao

Hii kitaalamu inaitwa baniani mbaya ila kiatu chake dawa
 
Huoni waislamu tunajichanganya😅😅popote pale ,unaumia dini ...Mbona wanatumia mafuta ya hao hao ..

Dunia haiwezi kuwa hivyo na huwezi kujimilikisha kila kitu chako watu wanamuingiliano kwa namna yeyote ile.
 
Hao ukisoma wasifu wao maisha yao na elimu yao wametumia au kuipata kwa makafili wanao wapiga mawe

Kama waziri wa mambo ya nje wa Libya

Wanaenda kusoma kwa wanao waita makafili na kuvao kama wao

Hii kitaalamu inaitwa baniani mbaya ila kiatu chake dawa
.
Jifunze history...hata wazungu walikuja Africa kusoma na kuiba maarifa...
Usiwaabudu wazungu kama miungu yako vile ..na wao walijifunza Africa ...
 
Hao jamaa wanafundishwa ujinga kwamba elimu ni ya wazungu tu 😅😅.

Wanakosa exposure wakati elimu kila kona zipo na watu wanazunguka kutafuta elimu ,bahati mbaya hapa bongo hatuna elimu yetu tunafuata ya mzungu.
 
Nimemuona huyu mama waziri leo jncc anapiga ngeli kama mmarekani alafu kapiga suit kama kamala alafu hata hajavaa hijabu kama samia najiuliza hivi huyu waziri ni muarabu au mzungu? Au kuna wabantu wanaiga uarabu kuliko waarabu wenyewe

View attachment 2742527
Ukimuona tu unajua ni muarabu au ni muisraeli maana waarabu na waisraeli ni wale wale tu watoto wa Ibrahimu 😅🙏
 
Back
Top Bottom