Kwani CHADEMA inahitaji back up ya waislam ili kwenda ikulu?watuachie uislam wetu wafanye siasa zao

Status
Not open for further replies.
ni kweli kabisa CCM na BAKWATA YAKE,IMETUFANYA WAISLAM WA TANZANIA MPAKA LEO TUSIWE NA HOSPITAL HATA MOJA YA MAANA!muislam anayejitambua hatathubutu kuishabikia ccm,twendeni kwenye chama mbadala

Sawa lakini sio hio MOVEMENTS 4 CHRISTIANS...akhui wewe ni mmoja wa waislam nawo waonea huruma daima mungine yule MTOI.. BONGOLALA kadri utavoichukia ccm basi WALLAHI bora uende hata kwa cheyo au nccr au uwe huna chama kabisa lakini sio hawa majamaa wanaetuchukia na kuikashifu pamoja na kuitukana uislam kila uchwao....mkuu kama huniamini hebu ka research kidogo kwa hawa ma pro chadema hapa JF mpaka kwa muasisi wao mtei...anza na nicholas nenda kwa matola hamia kwa ninyakageni etc etc.....usipo elewa wewe ni sum mum buk mun
 
Last edited by a moderator:
Heko Said Mohamed dozi moja tu imesambaratisha propaganda chafu ya CCM na vibaraka vyake juu ya udini.

Endelea kutoa elimu akhera na dunia sambamba kwa waislamu wasiojitambua kama huyu mtoa mada.
 
Mimi ni mwislamu kama wewe....Kwani CDM umesikia wakiwaahidi waslamu chochote au umesikia wakiwaahidi wakiristo chochote...? CDM wanawaahidi watanzania...? hivi unajua ugumu wa maisha unavyo haribu uslamu hukku miataani kwetu.../ nenda uswahilini, nwnda kwa wahindi, angalia wasanii wa bongo fleva...utasikia said, ally kiba, samiri blue, q chilla, Mohamed jmo, fafari jafarai...na wngine wengi waislamu...vijana wengi wanakimbilia huko na kuharibika kwa sababu ya umaskini......MIMI kama mwislam naye jitambua nashabikia watu wanaotaka keleta maendeleo kwa wananchi wote....TUACHE UNAFKI

Kama chadema ni chama cha wa TZ wote ni vipi tena waliwatumia maaskofu na wachungaji kuwapigia kampeni uchaguzi wa 2010! unakumbuka dua na maombi yaliyofanyika usiku wa kuamkia siku ya uchaguzi? kwanini Kanisa lilitoa waraka kabla ya uchaguzi? kwanini Wakristo waliacha kwenda Makanisani siku ya uchaguzi ili wote wapate kupiga kura! mbona hatukuona haya chaguzi zilizotangulia? umesahau kauli za Kardinali Pengo za kumsakama Rais Kikwete ktk harambee ya Mwanza? umesahau kauli na maelekezo za Askofu Kakobe kwa waumini wake wa nani anaefaa kuwa Rais wa nchi hii? tena la kutisha ni pale alipomtetea waziwazi Slaa kwa kashfa za ngono na mke wa kupora!!!

Hutaweza kuitenga Chadema na Udini kwani nani asiejua kuwa Christian Democratic Union ya Ujerumani ilitoa msaada wa fedha kiduchu kusaidia kampeni za uchaguzi kwa ajili ya chadema?

Maswali ni mengi kuliko majibu!!!
 
[ok nakupata.hivi akisema uisilamu ni mfumo uliojitosheleza kumbe anamaanisha nini?QUOTE=Alhaj Malik Elshabaz;8540013]Ona wengine kama wewe,sijui unawaza kwa kutumia kitu gani

Wapi umeambiwa siasa za kiislam kwenye uzi huu??

Amesema kwamba wanasiasa wafanye siasa zao,na waache kuutumia uislam kama backup yao,sasa siasa za kiislam na boko haram zinatoka wapi??

Tutumie akili wakati mwengine[/QUOTE]
 
Unang'ata na kupuliza lakini wenye akili tumeshakusoma. Wewe sema una chuki na Chadema. Unaonekana ungefurahi sana kama waislamu wote wangeikataa. Waislamu watashiriki vipi kwenye siasa za nchi yao pasi kuhusishwa na vyama?
 
Mkuu inasikitisha kwenye analysis yako huoni Kikwete anahusika na propaganda hizo kisa tu ni muislam mfano:"" Hili limetokea mfano kipindi ambacho JK alikuwa anajiandaa kuingia ikulu kwa awamu ya pili ya utawala wake kwa wazi wazi kabisa,kwan CCM ilisimama kidete kuwarubun baadhi ya viongoz wa kiislam hususan wa bakwata na kuwaambia kwamba wawashawish waumin.....""

Alafu hapa chini huonekani kumlaumu Kikwete ila unalaumu chama ambacho kimisingi yeye ni mwenyekiti lakini unaona sawa kumlaumu Nyerere na wengine...
""Tunapinga jambo hilo,mimi sio msemaji wa waislam,.ila mimi ni miongon mwa waislam nilioudhika kwa kitendo hiko kama nilivoudhika kwa vitendo alivyofanya NYERERE kwa waislam,na kama vitendo walivyofanya CCM kwa waislam.""

Kwa nini husemi vitendo alivyofanya JK kwa waislam kama hoja yako inajikita katika kutetea dini na sio mtu mmoja mmoja???? huo ndo udini......
 
Vyama hivi vinaongozwa na watu nao wana dini zao. Hueleweki unapoona imani ya mwenzako ni ya kihuni huni eti kwa sababu yeye ni kiongozi kwa hiyo asiongelee imani yake. Wewe ndio umezowea kutumiwa tena kwa muda mrefu kwani hata wakati wakiunda Bakwata ulikiwepo na ukafurahia kutumiwa na CCM na ukala ubwabwa. Wakati Kikwete akipiga kambi misikitini ulikuwepo, ukatumiwa na CCM, ukafurahi ukala ubwabwa. Sasa madhara uliyowaletea waislam wenzako ni hayo ya kutumika kirahisi. Wewe na wenzako wasaliti wa uislam ndio mjute sasa. Na sasa hivi kwa vile kamanda Said wa CHADEMA anaitesa C'
 
Kamanda Said anaitesa CCM, wamekutuma uutumie Uislam wako kutoa vijitamko. Anza na nafsi yako
Acha kutumiwa
Najua umeshapita Lumumba kuwahi za ubwabwa.
 
Kama chadema ni chama cha wa TZ wote ni vipi tena waliwatumia maaskofu na wachungaji kuwapigia kampeni uchaguzi wa 2010! unakumbuka dua na maombi yaliyofanyika usiku wa kuamkia siku ya uchaguzi? kwanini Kanisa lilitoa waraka kabla ya uchaguzi? kwanini Wakristo waliacha kwenda Makanisani siku ya uchaguzi ili wote wapate kupiga kura! mbona hatukuona haya chaguzi zilizotangulia? umesahau kauli za Kardinali Pengo za kumsakama Rais Kikwete ktk harambee ya Mwanza? umesahau kauli na maelekezo za Askofu Kakobe kwa waumini wake wa nani anaefaa kuwa Rais wa nchi hii? tena la kutisha ni pale alipomtetea waziwazi Slaa kwa kashfa za ngono na mke wa kupora!!!

Hutaweza kuitenga Chadema na Udini kwani nani asiejua kuwa Christian Democratic Union ya Ujerumani ilitoa msaada wa fedha kiduchu kusaidia kampeni za uchaguzi kwa ajili ya chadema?

Maswali ni mengi kuliko majibu!!!

Shukran sana Mkuu Kadogoo

Hoja yako imenisisimua sana
 
Huyu Mohamed Ally fake mbona hasomeki?, ni lini CHADEMA imewahi kuwaahidi chochote Waislam?, CHADEMA wanachokifanya ni kuvunja nguvu ya Propaganda za udini za CCM na siyo vinginevyo. Mimi nadhani mtoa mada ameona sasa CHADEMA kinaungwa mkono na jamii zote za Watanzania bila kujali rangi (Sabodo), kabila, ukanda wala dini, sasa unaweweseka. Pole sana, CHADEMA ni chama cha watu wote, Kilianzishwa na Mwislam Bob makani na Mkristu Mtei. Kwenda zako huko na propaganda zako
 
Why over reacting if that is a lie than prove it otherwise. However, simple mathematics is that any party cannot win the presidency of the Unite Republics if they dont get elected on both sides of the Union.

That is to say if for instance a party than has nor base in Zanzibar it is obvious that Zanzibaris will not elect that candidate and for what I see right now, is that after the Zitto episode may be Chadema might lose even the legitimacy of registration since they have been exposed about their stand on the Musliman religion and now they are in the open as Muhammadi Ally Ali put it they are manipulating the religious card as their predecessors.

I dont see anywhere even in a dream for Chadema to wim in Zanzibar and also I dont see their chance of winnig the hearts and minds of the majority of the muslimans in Tanganyika.

This is indeed very very interesting
 
Dr Fake nn? uliteteaje udaktari wako kwa kupindisha mada, mtoa mada hajasema waislam wasiunge mkono wanaotaka kuleta maendeleo, wala hajasema kwamba CDM hakuna waislamu; acheni kuwa na vichwa vya upotoshaji. Amesema kiongozi wa kiislamu (hata wa asiye wa kiislamu) hawezi kutumia uongozi wake ndani ya uisalmu ku-influence maamuzi ya watu juu ya yeye anachoshabikia.



Mkuu nimependa hoja yako sana

Kwa nilivokusoma naona umefafanua vyema sana
 
Ningekuelewa vizuri kama ungekemea waasisi wa udini badala ya wadhurika(victims)wanaojaribu kuonyesha kuwa wanapakaziwa.bahati nzuri umekiri mwenyewe kuwa waasisi wa udini ni ccm,na kwakweli katika hilo hakuna ubishi kwani hata ushahidi uko hapahapa,basi kawakemee haohao.kuikemea cdm inayo kana,ukaiacha ccm iliyoasisi suala hili nisawa na kumpiga rungu mfukuza kibaka badala ya kibaka mwenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom