Kwani CHADEMA inahitaji back up ya waislam ili kwenda ikulu?watuachie uislam wetu wafanye siasa zao

Status
Not open for further replies.
May be kama ulikuja kwenye mashindano,lakini kama ni hoja ziko wazi na zinajisimamia zenyewe

Ni hiyari yako kuzikubali ama kuzikataaa,lakin tutaendelea kusimamia kile tunachokiamin

Kumbe unazungumzia kile unachokiamini na sio unachokijua

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuamini na kujua

Kuamini unaweza kuamini chochote na sio lazima iwe kweli
Unaweza kuamini wewe na Osama ni ndugu wa tumbo moja kabisa na hata Malkia Elizabeth no shangazi yenu

Lakini kujua kunaenda sanjari na utafiti pamoja na ushahidi
Huwezi kusema najua Osama ni mwanamke bila kuonesha kilichokufanya useme hivyo kwa ushahidi

Kama haya uliyoandika hapa ni imani yako inabidi uwatake radhi wana jamvi na uyapeleke haya maelezo yako kwenye nyumba zenu za ibada!!
 
Kama kweli unakijua unachokizungumza niambie Ukweli ni kitu gani ....!!!!!!!!!!

chadema na wanasiasa wengine wafanye siasa zao,

uislam na iman za watu waziweke kando,haitawasaidia

thats all
 
Hauufahamu uislamu unaizungumziaje demokrasia.

2. Haujui masharti ya muislamu kuwa imamu.
3. Haujui uislamu unafundisha vipi waislamu kujihusisha na siasa hizi za kidemokrasia. Ndio maana sikushangai kwa maelezo yako marefu yaliokosa mantiki.

Sijakupata mkuu, labda hukukususdia kujibu post yangu
 
Kumbe unazungumzia kile unachokiamini na sio unachokijua

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuamini na kujua

Kuamini unaweza kuamini chochote na sio lazima iwe kweli
Unaweza kuamini wewe na Osama ni ndugu wa tumbo moja kabisa na hata Malkia Elizabeth no shangazi yenu

Lakini kujua kunaenda sanjari na utafiti pamoja na ushahidi
Huwezi kusema najua Osama ni mwanamke bila kuonesha kilichokufanya useme hivyo kwa ushahidi

Kama haya uliyoandika hapa ni imani yako inabidi uwatake radhi wana jamvi na uyapeleke haya maelezo yako kwenye nyumba zenu za ibada!!

sina cha kukusaidia zaid

wenye kuutambua ukweli wameutambua

kupinga kwa wengine kama wewe ndiyo mijadala inavyokuwa

shukran
 
chadema na wanasiasa wengine wafanye siasa zao,

uislam na iman za watu waziweke kando,haitawasaidia

thats all

Umeelewa swali langu linahitaji majibu ya aina gani?

Nimekuuliza unajua ukweli ni kitu gani unanijibu "chadema na wanasiasa wengine wafanye siasa zao,"unajua swali langu lilikuwa linahitaji majibu ya aina gani?

Inaonekana hata uwezo wa kusoma na kuelewa huna

Halafu unataka ujadili masuala ya siasa?

Unatia huruma wewe!!
 
Nani amekuambia ninahitaji msaada wako?

Nimekuuliza maana tu ua ukweli umeshindwa kujibu
Utawezaje kujua mahali penye ukweli wakati hujui ukweli ni kitu gani?

Wewe umeshindwa kujibu maswali ya watu ndo unaita mjadala??

Watu wengine ni wa ajabu sana

Sasa wewe ukitaka akujibu vipi??

Kama huna la kusema si bora ukae kimya??

Au waache wenye kutaka kujadili wajadili??
 
Mkuu wangu Mohammadi Ally hebu naomba unisaidie ufafanuzi kwenye haya yafuatayo:
1. Unazungumziaje zile video ambazo zilikuwa hapa jukwaani kuhusu Pro. Lipumba na zile yamini zilizokuwa zikiendelea kule misikitini? Ulitoa ushauri kwa CUF kwamba isiwatumie waislamu?
2. Kama lengo ni kuishauri Chadema kama unavyotaka uonekane, ulifanya hivyo na kwa CCM hasa baada ya wewe mwenyewe kukiri kwamba iliwatumia waislamu kwenye uchaguzi?
3. Ni kwa nini umefikiria kuipa Chadema ushauri huo na si chama kingine chochote?

Kama hautanifafanulia hayo basi nitalazimika kuamini kwamba ushauri wako una dhamira ovu ndani yake na si vinginevyo.
 
Last edited by a moderator:
sina cha kukusaidia zaid

wenye kuutambua ukweli wameutambua

kupinga kwa wengine kama wewe ndiyo mijadala inavyokuwa

shukran

Mkuu wenye kukuelewa tumekuelewa sana

Sema kitu kilichopo ni kwamba watu hawawez kuukubali ukweli hata kama ingekua vipi kwani kwa kufanya hivyo ni kukubali weakness zao,

Ila shukrani sana kwako kwa kuweka mambo sawa.
 
Jamani hii thread yote ni sumu iliyopakwa asali.tuidharau kabisa.hakuna siasa za kiislamu.siasa za kidini ni machafuko tu.si unaona huko bokoharamu wanachinja wa 50 kanisani wakidhani ni siasa.sasa kuna seleka wa chadi.wasomali nao wapo na yao.unaona hiyo muslim up rising uarabuni.fujo mtindo mmoja.hapo kwa farao maraisi wawili kotini.syria ndio usiombe.lakini wote wanatumia kitabu kimoja.libia,morocco,yemen pote wamechanganyikiwa.dini ikijiingiza kwenye siasa ujue hamuendi mbali.
 
Mkuu wangu Mohammadi Ally hebu naomba unisaidie ufafanuzi kwenye haya yafuatayo:
1. Unazungumziaje zile video ambazo zilikuwa hapa jukwaani kuhusu Pro. Lipumba na zile yamini zilizokuwa zikiendelea kule misikitini? Ulitoa ushauri kwa CUF kwamba isiwatumie waislamu?
2. Kama lengo ni kuishauri Chadema kama unavyotaka uonekane, ulifanya hivyo na kwa CCM hasa baada ya wewe mwenyewe kukiri kwamba iliwatumia waislamu kwenye uchaguzi?
3. Ni kwa nini umefikiria kuipa Chadema ushauri huo na si chama kingine chochote?

Kama hautanifafanulia hayo basi nitalazimika kuamini kwamba ushauri wako una dhamira ovu ndani yake na si vinginevyo.

Hampendi chadema inapokosolewa??

Na ukiisoma hoja yake kuu hajaigusa chadema peke yake,sema watu mmekuwa wachungu pale mnapoambiwa ukweli na uhalisia wa mambo
 
Kwanin unataka kunipangia la kusema??

mimi leo nimeliona hili tunalojadili,wewe kama umeiona hilo waweza liweka tukajadili

ndio maana ya majukwaa kama haya,kila mtu yuko free kukisema kile anachojiskia kukisema mradi havunji sheria

kajipange upya,naona hata wewe umetumwa! unaweza kutueleza waliokutuma wanakulipa kiasi gani???
 
Jamani hii thread yote ni sumu iliyopakwa asali.tuidharau kabisa.hakuna siasa za kiislamu.siasa za kidini ni machafuko tu.si unaona huko bokoharamu wanachinja wa 50 kanisani wakidhani ni siasa.sasa kuna seleka wa chadi.wasomali nao wapo na yao.unaona hiyo muslim up rising uarabuni.fujo mtindo mmoja.hapo kwa farao maraisi wawili kotini.syria ndio usiombe.lakini wote wanatumia kitabu kimoja.libia,morocco,yemen pote wamechanganyikiwa.dini ikijiingiza kwenye siasa ujue hamuendi mbali.

Ona wengine kama wewe,sijui unawaza kwa kutumia kitu gani

Wapi umeambiwa siasa za kiislam kwenye uzi huu??

Amesema kwamba wanasiasa wafanye siasa zao,na waache kuutumia uislam kama backup yao,sasa siasa za kiislam na boko haram zinatoka wapi??

Tutumie akili wakati mwengine
 
Hampendi chadema inapokosolewa??

Na ukiisoma hoja yake kuu hajaigusa chadema peke yake,sema watu mmekuwa wachungu pale mnapoambiwa ukweli na uhalisia wa mambo

usidhani waislamu wote ni vilaza kama nyie mnaotumikia matumbo yenu kwa mgongo wa uislamu!!! poor you!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom