Kwani CHADEMA inahitaji back up ya waislam ili kwenda ikulu?watuachie uislam wetu wafanye siasa zao

Status
Not open for further replies.

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Miongoni mwa kosa kubwa ambalo wanasiasa ama kwa kutoliona au kwa kukusudia kabisa ni hili la wanasiasa la kudhani kwamba kwa kutumia sympathy ya waumin wa dini fulani basi itawasaidia kuwavusha katika changamoto zao za kisiasa na kufanikisha malengo yao ya kuingia ikulu.

Mimi nataka kuchukua kama case study kwa dini yangu,mimi muislam na namna ambavyo wanasiasa wamekuwa wanachukua nafasi zao kwa nyakati mbali mbali kujiingiza katika uislam na waislam kwa ujumla kuwafanya kama hao watu wa jamii hiyo ni mazuzu,wasiojitambau na kuingiza malengo yao kwao kwa matumain ya kupata backup yao na uungwaji mkono.

Hili limetokea mfano kipindi ambacho JK alikuwa anajiandaa kuingia ikulu kwa awamu ya pili ya utawala wake kwa wazi wazi kabisa,kwan CCM ilisimama kidete kuwarubun baadhi ya viongoz wa kiislam hususan wa bakwata na kuwaambia kwamba wawashawish waumin na kuwaambia kwamba endapo CCM itachukua dola basi itahakikisha inawasaidia kuanzisha mahakama ya kadhi na mambo kama hayo,kama hiyo haitoshi ilijinasibu kwa kuweka vipaombele vya waislam kama group linalojitegemea kipekee katika jamii ya watanzania.

Mimi kama Muislam haikunishangaza hata kidogo kwa CCM kutumia janja kama ile,ila niliumia kwa kuona ni kwa namna gani wanasiasa wanajaribu kucheza na hisia zetu katika mambo ya msingi yahusuyo iman zetu kwa maslahi yao kwa dunia yao.

Hili lilianzia tokea enzi ya Julius Kambarage Nyerere,yeye ndie kinara wa haya tunayoyaona kwa sasa na wanachokifanya wengine ni muendelezo tuh wa legacy yake,

Wote mtakuwa mnakumbuka kwamba kwa kias kikubwa sana waislam wameshiriki katika pilika pilika za kudai uhuru wa nchi hii kama group moja linaloojitegemea mingoni mwa magroup mengine yaiyokawepo katika zama hizo,
Na waislam walifanya hivyo sio kwa sababu ya kwamba wallikuwa wanataka kuismamisha dola ya kiislam la hasha,
Walifanya hivyo kwa kuwa wanajua fika kwa mujibu wa mafundisho ya iman yao utumwa,unyanyasi na ukoloni ni dhambi na dhulma kubwa kwa mwanadamu,na kwa mujibu wa mafunzo ya iman yetu tunaambiwa tuipinge dhulma kwa njia zote,thats why unaweza kuona kwamba waislam walisimama kidete kupigania uhuru kwa maslahi ya kujiweka huru na kuliweka huru taifa zima kwa ujumla.

Nyerere kwa kuona juhudi zile,aliingia na taharuki ya kibinadamu kwa kuona nguv ambayo waislam walikuwa nayo enz hizo na kwa kuona kwamba wanaweza kuibuka kuwa group hatari kwa baadae kitu ambacho wala hakikuwa na uhalisia,kwa mamlaka yake AKAAMUA KUWAUNDIA WAISLAM CHOMBO CHA BAKWATA ili kiweze kuwaratibu na kuwaregulate mambo yao on behalf of his goverment,pale ndipo palipokuwa kiini cha haya yanayotokea kwa sasa.

Waislam wakawa wanaratibiwa na kupangiwa kila aina ya propaganda na shutuma pasi na sababu za msingi kana kwamba wao sio watanzania au wao sio wananchi huru,hili lishasemwa sana mimi nafanya kama kukumbusha tuh,na sio nia yangu kuleta malalamiko au shutuma,au kuhubiri utengano katika jamii yangu,naipenda jamii yangu kwa utaifa wangu na uzalendo wa hali ya juu,japo siwez kuikanan iman yangu.

CCM, kwa jambo lile walilolifanya kipindi cha awamu ya pili ya JK waislam waliliona na wamejifunza,lakin niweke wazi kwamba ni group dogo sana la waislam ambao waliingia kwenye mtego ule.nalo ni lile lililofanikiwa kurubuniwa na BAKWATA ambacho ni chombo kilichoasisiwa na NYERERE.

CHADEMA,
Inafuata mkondo ule ule,
Kwa mara nyingi sana na kwa muda mrefu chadema imekuwa kwenye shutuma za malumbano na wanasiasa wenzao wa CCM ya kwamba kwenye chama hiko kuna kasumba za udini na kubaguliwa watu wenye iman ya kiislam kwa wazi wazi bila sababu za msingi,
Inawezekana jambo hilo likawa na uhalisia au lisiwe na uhalisia,ila hoja yangu kuu hapa ni kwamba CHADEMA kama chama,kitafute namna ya kupambana na wapinzani wao kwa utaratibu wao huo huo wa kisiasa,

Wasitake kutafuta sympathy kwa kuchukua baadh ya watu wahun wahun na kuwavisha uislam,kuwavisha madaraka ya uislam kama huyo SAID MOHAMED,makamu mwenyekiti wa chadema zanzibar ili kufikia malengo yao ya kisiaisa kwa kutafuta backup ya waislam.

Tunapinga jambo hilo,mimi sio msemaji wa waislam,.ila mimi ni miongon mwa waislam nilioudhika kwa kitendo hiko kama nilivoudhika kwa vitendo alivyofanya NYERERE kwa waislam,na kama vitendo walivyofanya CCM kwa waislam.

Tunajua uislam unapigwa vita na dunia yote kwa sasa,na tunajua wakati mgumu tunaoupitia,ila sio kwamba hatufaham namna ya kuzikabili changamoto kama hizo,

Tunawaambia chadema kama sample ya wanasiasa wengine waachane na waislam na uislam kama wanataka kuwa salama katika harakati zao,
Sisi hatuwez tumiwa na wanasiasa hata kdgo eti kwa maslahi yao ya dunia,sisi hatuwez kuwa subset ya wanasiasa na siasa zao,

Uislam kama uislam ni mfumo uliokamilika na kujitosheleza kwa kias kikubwa sana,lengo letu ni kuish maisha yanayompendeza mola wetu hapa ulimwenguni na kesho tuweze pata stahiki yetu akhera.

Kama chadema inaamua kutumia proportions ya vingoz wa dini ya kikristo waliopo ndan ya chama chao na kutaka kupandikiza viongoz fake wa kiislam ili kufanikisha kujikwamua kwenye vita vyao dhidi ya CCM,sisi tunawaasa kwamba hilo halitawafikisha mbali,kwani sisi tuna maisha yetu mahususi ambayo hatuhitaji kuingiliwa wala kutumiwa kwa maslahi ya watu fulani.

Ndug zangu waislam,hili suala na mengine kama haya yanapotokea tusiposimama kidete kuyakemea wanasiasa kama hawa wa chadema na wengneo wanaweza dhan sisi ni watu rahis rahis kama wanavyodhania kwa watu wengine.

Naomba Kuwakilisha.
 
Mkuu umeongea hoja ya maana sana

Ngoja tuvute subira tuone mjadala utakuaje

Narud hapa muda si mrefu
 
Kwa Mujibu wa Report ya AMNEST INTERNATIONAL(2013)"Tanzania na Korea Kaskazini ni Miongoni mwa Nchi ambazo wakrtisto wanaishi kwa tabu.Hii imechangiwa baada ya Kuuawa kwa Mapadre,Kuchomwa Makanisa,kulipuliwa Makanisa Mojawapo akiwepo Balozi wa Vatican"
MY NOTE:.Serikali ya CCM inayoongozwa na Waislamu wengi imeshindwa kuwatia hatiani wahalifu wowote waliohusika na Matukia hayo.Hii huenda ikachafua Sifa ya Tanzania Kimataifa na Kupandikiza Chuki za Kidini.
 
Jaribu kujikita kwenye facts za mleta hoja hapo juu

Hili ni jukwaa la great thinkers
 
Miongoni mwa kosa kubwa ambalo wanasiasa ama kwa kutoliona au kwa kukusudia kabisa ni hili la wanasiasa la kudhani kwamba kwa kutumia sympathy ya waumin wa dini fulani basi itawasaidia kuwavusha katika changamoto zao za kisiasa na kufanikisha malengo yao ya kuingia ikulu.

Mimi nataka kuchukua kama case study kwa dini yangu,mimi muislam na namna ambavyo wanasiasa wamekuwa wanachukua nafasi zao kwa nyakati mbali mbali kujiingiza katika uislam na waislam kwa ujumla kuwafanya kama hao watu wa jamii hiyo ni mazuzu,wasiojitambau na kuingiza malengo yao kwao kwa matumain ya kupata backup yao na uungwaji mkono.

Hili limetokea mfano kipindi ambacho JK alikuwa anajiandaa kuingia ikulu kwa awamu ya pili ya utawala wake kwa wazi wazi kabisa,kwan CCM ilisimama kidete kuwarubun baadhi ya viongoz wa kiislam hususan wa bakwata na kuwaambia kwamba wawashawish waumin na kuwaambia kwamba endapo CCM itachukua dola basi itahakikisha inawasaidia kuanzisha mahakama ya kadhi na mambo kama hayo,kama hiyo haitoshi ilijinasibu kwa kuweka vipaombele vya waislam kama group linalojitegemea kipekee katika jamii ya watanzania.

Mimi kama Muislam haikunishangaza hata kidogo kwa CCM kutumia janja kama ile,ila niliumia kwa kuona ni kwa namna gani wanasiasa wanajaribu kucheza na hisia zetu katika mambo ya msingi yahusuyo iman zetu kwa maslahi yao kwa dunia yao.

Hili lilianzia tokea enzi ya Julius Kambarage Nyerere,yeye ndie kinara wa haya tunayoyaona kwa sasa na wanachokifanya wengine ni muendelezo tuh wa legacy yake,

Wote mtakuwa mnakumbuka kwamba kwa kias kikubwa sana waislam wameshiriki katika pilika pilika za kudai uhuru wa nchi hii kama group moja linaloojitegemea mingoni mwa magroup mengine yaiyokawepo katika zama hizo,
Na waislam walifanya hivyo sio kwa sababu ya kwamba wallikuwa wanataka kuismamisha dola ya kiislam la hasha,
Walifanya hivyo kwa kuwa wanajua fika kwa mujibu wa mafundisho ya iman yao utumwa,unyanyasi na ukoloni ni dhambi na dhulma kubwa kwa mwanadamu,na kwa mujibu wa mafunzo ya iman yetu tunaambiwa tuipinge dhulma kwa njia zote,thats why unaweza kuona kwamba waislam walisimama kidete kupigania uhuru kwa maslahi ya kujiweka huru na kuliweka huru taifa zima kwa ujumla.

Nyerere kwa kuona juhudi zile,aliingia na taharuki ya kibinadamu kwa kuona nguv ambayo waislam walikuwa nayo enz hizo na kwa kuona kwamba wanaweza kuibuka kuwa group hatari kwa baadae kitu ambacho wala hakikuwa na uhalisia,kwa mamlaka yake AKAAMUA KUWAUNDIA WAISLAM CHOMBO CHA BAKWATA ili kiweze kuwaratibu na kuwaregulate mambo yao on behalf of his goverment,pale ndipo palipokuwa kiini cha haya yanayotokea kwa sasa.

Waislam wakawa wanaratibiwa na kupangiwa kila aina ya propaganda na shutuma pasi na sababu za msingi kana kwamba wao sio watanzania au wao sio wananchi huru,hili lishasemwa sana mimi nafanya kama kukumbusha tuh,na sio nia yangu kuleta malalamiko au shutuma,au kuhubiri utengano katika jamii yangu,naipenda jamii yangu kwa utaifa wangu na uzalendo wa hali ya juu,japo siwez kuikanan iman yangu.

CCM, kwa jambo lile walilolifanya kipindi cha awamu ya pili ya JK waislam waliliona na wamejifunza,lakin niweke wazi kwamba ni group dogo sana la waislam ambao waliingia kwenye mtego ule.nalo ni lile lililofanikiwa kurubuniwa na BAKWATA ambacho ni chombo kilichoasisiwa na NYERERE.

CHADEMA,
Inafuata mkondo ule ule,
Kwa mara nyingi sana na kwa muda mrefu chadema imekuwa kwenye shutuma za malumbano na wanasiasa wenzao wa CCM ya kwamba kwenye chama hiko kuna kasumba za udini na kubaguliwa watu wenye iman ya kiislam kwa wazi wazi bila sababu za msingi,
Inawezekana jambo hilo likawa na uhalisia au lisiwe na uhalisia,ila hoja yangu kuu hapa ni kwamba CHADEMA kama chama,kitafute namna ya kupambana na wapinzani wao kwa utaratibu wao huo huo wa kisiasa,

Wasitake kutafuta sympathy kwa kuchukua baadh ya watu wahun wahun na kuwavisha uislam,kuwavisha madaraka ya uislam kama huyo SAID MOHAMED,makamu mwenyekiti wa chadema zanzibar ili kufikia malengo yao ya kisiaisa kwa kutafuta backup ya waislam.

Tunapinga jambo hilo,mimi sio msemaji wa waislam,.ila mimi ni miongon mwa waislam nilioudhika kwa kitendo hiko kama nilivoudhika kwa vitendo alivyofanya NYERERE kwa waislam,na kama vitendo walivyofanya CCM kwa waislam.

Tunajua uislam unapigwa vita na dunia yote kwa sasa,na tunajua wakati mgumu tunaoupitia,ila sio kwamba hatufaham namna ya kuzikabili changamoto kama hizo,

Tunawaambia chadema kama sample ya wanasiasa wengine waachane na waislam na uislam kama wanataka kuwa salama katika harakati zao,
Sisi hatuwez tumiwa na wanasiasa hata kdgo eti kwa maslahi yao ya dunia,sisi hatuwez kuwa subset ya wanasiasa na siasa zao,

Uislam kama uislam ni mfumo uliokamilika na kujitosheleza kwa kias kikubwa sana,lengo letu ni kuish maisha yanayompendeza mola wetu hapa ulimwenguni na kesho tuweze pata stahiki yetu akhera.

Kama chadema inaamua kutumia proportions ya vingoz wa dini ya kikristo waliopo ndan ya chama chao na kutaka kupandikiza viongoz fake wa kiislam ili kufanikisha kujikwamua kwenye vita vyao dhidi ya CCM,sisi tunawaasa kwamba hilo halitawafikisha mbali,kwani sisi tuna maisha yetu mahususi ambayo hatuhitaji kuingiliwa wala kutumiwa kwa maslahi ya watu fulani.

Ndug zangu waislam,hili suala na mengine kama haya yanapotokea tusiposimama kidete kuyakemea wanasiasa kama hawa wa chadema na wengneo wanaweza dhan sisi ni watu rahis rahis kama wanavyodhania kwa watu wengine.

Naomba Kuwakilisha.

Umesema CCM chini ya Kikwete ilipiga Kampeni Misikiti ukiwepo.Ulichukua hatua gani kupinga hizo kampeni zake au kwa sababu alikuwa Muislamu Mwenzako uliona sawa sasa ikija kwa CDM ndio inakuwa Ngumu kumeza?.
 
... kuwarubun baadhi ya viongoz wa kiislam hususan wa bakwata na kuwaambia kwamba wawashawish waumin na kuwaambia kwamba endapo CCM itachukua dola basi itahakikisha inawasaidia kuanzisha mahakama ya kadhi
...kwa mamlaka yake AKAAMUA KUWAUNDIA WAISLAM CHOMBO CHA BAKWATA ili kiweze kuwaratibu na kuwaregulate mambo yao on behalf of his goverment,pale ndipo palipokuwa kiini cha haya yanayotokea kwa sasa. Waislam wakawa wanaratibiwa na kupangiwa kila aina ya propaganda na shutuma pasi na sababu za msingi kana kwamba wao sio watanzania au wao sio wananchi huru,...
Unalalamika kwamba kuna rais kutoka CCM hakuwaanzishia Mahakama ya Kadhi kama alivyoahidi
Unalalalamika pia kwamba kuna rais mwingine kutoka CCM aliwaanzishia BAKWATA.
Chombo kimoja mmeanzishiwa, mnalalamika. Chombo kingine hamkuanzishiwa, mnalalamika tena.

Sasa tupeni msimamo mmoja, mnapenda au hampendi kuanzishiwa vyombo vyenu na serikali?
 
Aisee kiongozi una hoja ya msingi sana ambayo inahusianisha siasa za tanzania(vyama) kutafuta sympathy za kidini!!
Ngoja tuone nani ana facts za kutosha za kupinga hii kitu
 
Jaribu kujikita kwenye facts za mleta hoja hapo juu

Hili ni jukwaa la great thinkers

Hana Hoja zozote.Huyu ni Mdini kama Wenzake.Mods Tafadhali futa huu Utumbo.Anajaribu Kumchafua Nyerere kwa Hoja zilezile za Vijiweni wakati anadai Kikwete kapiga Kampeni za Udini Misikitini na yeye akiwepo bila kuchukua hatua yoyote.Hatuhitaji kuwa na Taifa la Walalamikaji.
 
Umesema CCM chini ya Kikwete ilipiga Kampeni Misikiti ukiwepo.Ulichukua hatua gani kupinga hizo kampeni zake au kwa sababu alikuwa Muislamu Mwenzako uliona sawa sasa ikija kwa CDM ndio inakuwa Ngumu kumeza?.

kiini cha hayo uyasemayo ni ushirikishaj wa chombo cha bakwata kiholela katika maslahi na shughui za waislam

na muasisi anafahamika,tunachofanya sisi ni kukemea kwa kila mmoja pasi na kuangalia huyu anatokea chama gani au ni wa dini gani
 
Aisee kiongozi una hoja ya msingi sana ambayo inahusianisha siasa za tanzania(vyama) kutafuta sympathy za kidini!!
Ngoja tuone nani ana facts za kutosha za kupinga hii kitu

Nimekusoma mkuu,najua wapo ambao nitawaumiza hisia zao katika hili

Ndio kwa maana nimeomba mods waulinde uzi huu ili kuwepo na utaifa zaid tuzungumze kitaifa,

kwa ambao watakuwa wameumia kwa namna moja ama nyiingine tusameheane

shukran
 
chadema wabunifu sana.....wametafuta imam fake kurubuni waislam kusudi tu ya kupata kura zao, wakiingia mkenge watatupwa kuleee kama zito!!
sote hatujasahau mchango mkuu wa zito (wa2 baada ya slaa!) ktk chadema lakini leo hii opportunist lema kawa mali ili hali kajiunga majuzi tu kusaka ubunge baada ya kushindwa alikotoka (tlp)!!
leo lema anaamrisha zito afukuzwe ndani ya chama kwa sabb tu ya 'ukaribu' na wenye chama (mtei na mbowe), maajabu haya!!!
kwa muktadha huu, bora maccm yaendelee kushika hatamu 2015 kuliko giza nene ktk future ya chadema!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom