Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,017
Unaweza wewe... yaani wewe kutokunywa bia unaona ndo sawa na wanywa bia wakiona kunywa juisi kwenye sherehe siyo sawa, unawashangaa.Ni kweli uliyoandika!
Ni kweli ili sherehe ifane hasa harusi ni lazima watu washiriki, wale, Wanywe na kucheza.
Lakini kwenye kunywa siyo lazima iwe pombe, kunywa wanaweza kunywa juisi, togwa, maji n.k
Sherehe bila pombe ni sawa na kikao cha wakina mama tu.Sherehe ili ifane lazima watu wale , wanywe na kucheza na kusaza!
Lakini kunywa siyo pombe!...!
Tuko pamoja!Tena utafikiri ni mkusanyiko wa vikoba vya akina mama!😁😁Sherehe bila pombe ni sawa na kikao cha wakina mama tu
Nani amekwambia pombe ni dhambi au hao masheikh wakoHabari za muda huu!
Juzi nimehudhuria harusi kuna watu waliamua kufunga ndoa na ilikuwa ndoa ya Kiislam...
Harusi za walokole hazina vilevi mwanzo mwisho.Habari za muda huu!
Juzi nimehudhuria harusi kuna watu waliamua kufunga ndoa na ilikuwa ndoa ya Kiislam....
Nani amekwambia pombe ni dhambi au hao masheikh wako
😆😆😆
Jamani acheni na sie wanywa soda tupate mada za kuchangia. Sio kila siku tunaishia kuuliza "Na sisi tuna-comment wapi?"😏😏
Acha soda, epuka kisukari.
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
Mungu yupi unaemzungumzia hapa aliyekataza pombe.Ili ujue pombe haifai kwa matumizi mtu jiulize:
Ni kwanini wanafunzi wanakatazwa kunywa pombe?
Kwanini makazini ni marufuku kunywa pombe saa za kazi?
Kwanini madaktari wanakataza/kushauri watu kuacha kunywa pombe?
Mfano mama wajawazito, n.k ?
Kila alichokataza Mungu anamaana Nzuri sana kwa faida yetu wenyewe!