Kwani akianza yeye kuna ubaya.......?

Makambuya

Member
Dec 6, 2011
45
3
Siku hz kuna maendeleo ya sayansi na teknolojia ambayo yamepelekea hata kuathiri baadhi ya tamaduni zetu, ila leo nataka kujua kitu kimoja tu, ugumu upo wapi kwa mdada kuanza kumwambia mkaka anampenda?
 
hakuna ubaya wowote; in fact ni indication nzuri kwamba dada anajiamini, anajua anachotaka na yuko tayari kukitafuta na kukipata
 
Mmh! Wanawake wenyewe waoga kama nn! Wanacngizia c utamdun wao.
Utamadun wao n upi mbona m c ujii labda wanisaidie kwa hilo..
 
Sioni ubaya ila ningeshahuri dada anae mpenda kaka ajaribu kutuma signals ili kaka aelewe kua she has developed an interest in him. If he is interested too basi yeye amuanze. It is just my opinion, but nikikuta dada anae muanza kaka sioni ubaya vile vile.
 
Hii mada imeshaletwa hapa mara kadhaa, moja ninayoikumbuka ni hii HAPA. Kwa ufupi, hakuna ubaya, wala sio siku hizi tu, ni mambo yapo yanaendelea toka enzi za mababu. Lakini kama walivyosema wengine, sijui itokee nini mpaka mwanamke akuambie waziwazi kuwa anakutaka/anakupenda, badala yake atakuonesha kwa vitendo. Hata hivyo, bado kama atatokea akuambie anakupenda, cha ajabu nini?
 
hata wakaka wenyewe hawajaikubali hiyo kitu kiukweli.
Utaishia kuitwa majina yote hasa la ma.la...
Ni bora kufa na tai shingoni maana baada ya muda hisia hupotea.
 
Mwanaume ndo amtongoze mwanamke,hizo tabia za kujifanya wazungu,ndiyo maana maadili yamepotea.

Yani umekaa chini kabisa,na kuwaza mbona mdada flani hanianzi kunitamkia?.

Be a Real gentremen Man.
 
Back
Top Bottom