KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Wakubwa mambo vp? Natumai mu wazima.
Jamani mwenzenu vitu hivi huwa vinanikosesha raha kabisa na hamu ya mapenzi haijalishi una sura nzuri vp,moja ni RAFUDHI hasa ya kabila fulani la huko mkoani Mara,pili VIDOLE vya miguu hii ni kwa wote yaani nikimuangalia demu juu sura inalipa ila ninapomuangalia chini kwenye vidole vya miguu nikakuta vimekaa shagalabagala pamoja na kucha yaani hapo tu hamu huniishia. Hivyo ndivyo nionavyo mimi sijui wewe.
Mmmh hapo hata mimi umenigusa kwakweli. Hapa namwomba hata Mungu anisamehe tu cse hakuna mtu ninae muogopa kama mwanaume mwenye vidole vya miguu na mikono mikubwaaa na kucha panaa!! Huyo hata akisema tu anisalimie kwa kunishika mkono naweza kupoteza fahamu gafla.
hapo kwenye RED ulikua una maanisha LAFUDHI?
kumbe nawe umeona eh,naye pronounciation inamtoa knock out. haha! ukitaka kutoa kibanzi jichon pa mwenzio toa kwanza boriti jichon pako!
Si umbeni wenu kwa style muitakayo?
Maanake huyu anaewaumba mnaowatoa kasoro ameishiwa ubunifu !
Si ndiyo ?
Eee Mwenyezi samehe wasiojua wasemacho!
Wakubwa mambo vp? Natumai mu wazima.
Jamani mwenzenu vitu hivi huwa vinanikosesha raha kabisa na hamu ya mapenzi haijalishi una sura nzuri vp,pili VIDOLE vya miguu hii ni kwa wote yaani nikimuangalia demu juu sura inalipa ila ninapomuangalia chini kwenye vidole vya miguu nikakuta vimekaa shagalabagala pamoja na kucha yaani hapo tu hamu huniishia. Hivyo ndivyo nionavyo mimi sijui wewe.
hapo ndipo tunatofautiana....mtu hawezi umba hata kiazi....anakuja kumkosoa Mungu....jamani jamani....
hapo ndipo tunatofautiana....mtu hawezi umba hata kiazi....anakuja kumkosoa Mungu....jamani jamani....
hapo ndipo tunatofautiana....mtu hawezi umba hata kiazi....anakuja kumkosoa Mungu....jamani jamani....