Kwamba watoto wa Viongozi wanastahili Shule nzuri!

Mmmmh halafu hapo kuna watu utawakuta pwapwapwapwa wanapiga makofi bila aibu, aluyetuloga kafa
 
View attachment 646341
Kauli yake kweli au Magazeti mmemlisha maneno? Kwamba watoto wa Viongozi wanastahili Shule nzuri!
Jambo la kawaida kabisa,hivi unategemea ukutane na mtoto wa kikwete hapo jamhuri secondary?,huyo ni member wa first family,ulinzi kwake ni muhimu,
Hata wewe ukiwa,mkurugenzi,lazima utatafuta shule yenye hadhi kidogo,na level yako,huwezi kuleta wanao huku ambapo Mimi driver tu wa halmashauri napereka wa kwangu,
Hatuko sawa duniani,
 
Haswaaaaaaaa!!!!!
 
Ukiwa na akiwa na akili timamu wala huwezi ukashangaa kwani haingii akilini mtoto wa kiongozi waziri kusoma shule ya kata tena aende kwa mguu au baiki cheki tu wanakotibiwa hata wakiumwa na ng'e utajua alichomaanisha
 
Watoto wa wapigiwa kura lazima wasome shule nzuri ili nao tuwapigie kura. Watoto wetu wapiga kura wataendelea kusoma St Kayumba.

Watoto wetu wapiga kura wataendelea kusoma St Kayumba ili waendelee kuwa wapiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…