Jambo la kawaida kabisa,hivi unategemea ukutane na mtoto wa kikwete hapo jamhuri secondary?,huyo ni member wa first family,ulinzi kwake ni muhimu,View attachment 646341
Kauli yake kweli au Magazeti mmemlisha maneno? Kwamba watoto wa Viongozi wanastahili Shule nzuri!
Wa kwangu watasoma hadi Stanford Universitynyie watoto wenu wanapewa elimu bure mnafurahia.
Watoto wao wanawapa elimu ya gharama.
Mzazi mjanja atajitahidi kadri awezavyo kumpeleka mtoto wake hizi shule za kisasa.
Haswaaaaaaaa!!!!!Jambo la kawaida kabisa,hivi unategemea ukutane na mtoto wa kikwete hapo jamhuri secondary?,huyo ni member wa first family,ulinzi kwake ni muhimu,
Hata wewe ukiwa,mkurugenzi,lazima utatafuta shule yenye hadhi kidogo,na level yako,huwezi kuleta wanao huku ambapo Mimi driver tu wa halmashauri napereka wa kwangu,
Hatuko sawa duniani,
Tuache unafiki. Vidole havilingani hatuwezi wote sawa, madaraja yapo na yataendelea kuwepo. Jitahidi watoto wako wasome huko wanakosema kunafaa kusomesha watoto wao.View attachment 646341
Kauli yake kweli au Magazeti mmemlisha maneno? Kwamba watoto wa Viongozi wanastahili Shule nzuri!
Haya ndio mawazo sahihi.Wa kwangu watasoma hadi Stanford University
Watoto wa wapigiwa kura lazima wasome shule nzuri ili nao tuwapigie kura. Watoto wetu wapiga kura wataendelea kusoma St Kayumba.
Kwa nini mnakuwa na mawazo ya chini waungwanaWatoto wetu wapiga kura wataendelea kusoma St Kayumba ili waendelee kuwa wapiga kura
Mkuu how can sky be a limit when there are 4 teachers for the whole school of 250 children? And in additional to that there are no text books nor regular wages for teachers.