Kwamba watoto wa Viongozi wanastahili Shule nzuri!

Mkuu how can sky be a limit when there are 4 teachers for the whole school of 250 children? And in additional to that there are no text books nor regular wages for teachers.
Pole dear
I know ur concern

Ushauri wako muhimui ili watoto wa wanyonge wapate Elimu nzuri

Pamoja tutafika
 
Mtu hujikuna pale mkono unapofikia na wengine huenda mbali nakusema mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake
 
Back
Top Bottom