mashambani kwao
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 370
- 56
Je UVCCM ni wa mwaka gani?...wote ni wa before 1975?
Haya ndio majambazi tanzania.yanaishia kuvalishana mataji na huko yamekaa chini ya vibanda vya nyasi.eti ndio nyumba za watanzania wanaowaongoza.wanaowaongoza?
Namuomba Mungu akipukutishe kizazi cha 1900 hadi 1975 kipite ili Tanzania ipate mabadiliko.
Nasema hivyo kwa sababu kizazi hiki KILIAPA kwa mioyo yao yote kwa Mwenyezi Mungu, walisema
...Naapa, naapa, mbele za Mungu CCM nitakulinda mpaka kufaaaaa,
...Naapa, naapa, mbele za Mungu Mapinduzi nitakulinda mpaka kufaaa...
Kwa kiapo kile nina hakika mabadiliko ya kweli yatakuja kizazi hicho kitakapokwisha choote
Katika mambo yote nchi inayopitia bado kizazi hiki kimeendelea kushika kiapo chake, laana ya kiapo kile haitawaisha
Mwenyezi angesikia dua yangu Kizazi hiki angekipukutisha haraka iwezekanavyo ili tuendelee.
Ndio hapo sana!kuna kizazi cha 1980-1990 bado wana ujinga kama aliouzungumzia mtoa mada,kikubwa elim ya uraia watu wajitambue!