Kwako Yatima Anna Zambi (16)

Kwako Yatima Anna Zambi (16)

Pole kwa mapito Mkuu Liverpool_Jr
Umemshauri vyema
Kuna wenye media uchwara wamejitokeza kwa wingi wengi wao ni kutafuta umaarufu kupitia huyu binti.. Zama kaja na gear ya kuchangisha sijui nini nini
Kwanza nafuu anavyoenda Arusha
Tumuombee
Mama Mdogo atamuongoza kwa hakika
 
Mimi nina mambo kadhaa kwa hili tukio. Kabla ya kuongea hayo masuala ninampa pole sana huyu binti, Anna Zambi. Pia raha ya milele wapatiwe siblings wake na wazazi wake, na mwanga wa milele waangaziwe, wapumzike kwa amani. Amina.
Mambo yangu sasa:

Kwa upande wa serikali - 1. kwa nini barabara hazijengwi kwa viwango huku tunalipa kodi? 2. huyo injinia aliyejenga hiyo barabara kweli hana intellectual poverty? 3. Kwa nini barabara hazina taadhari (vibao na rumble strips) kwenye maeneo ambayo yana udongo laini na erosion utokea kwa urahisi?

Somo kwa madereva - 1. hakikisha unaona vizuri, 2. kama ni giza washa full light/ high beam, 3. epuka kudhania - mfano 'hicho kitu cheupe ni karatasi (kwa karatasi nyeupe)', kumbe ni kipande cha sinki la chooni/ bafuni; tairi likipona labda ni jipya kabisa.

Kwa leo ni haya tu, yakija mengine nitasema.
 
Naitwa Mr. Liverpool A.K.A Kop mimi ni yatima kama wewe niliyepitia shida nyingi.

Kwanza kabisa nilizaliwa 1989 na wazazi Matajiri sana. Baba alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana na mama alikuwa ni mama wa nyumbani.

Maisha nyumbani yalikuwa mazuri sana, yenye raha na ndugu walikuwa kibao kila mtu kuja kulia shida kwa baba.

Baba alipata stroke 1998 na kufariki ghafla, mama alikuwa mama wa nyumbani asiyejua kuendesha vitu vingi vya baba, maana alihakikishiwa maisha mazuri na mumewe, then alikaa tu nyumbani kuhudumiwa.

Mali nyingi za baba zilitapeliwa na rafiki pamoja na ndugu waliokuwa wakilia shida kwa mama na baba.

Ghafla maisha ya nyumbani yakaanza kuwa magumu. Shule nikahamishwa kutoka English medium mpaka kayumba (hela ziliisha zote mpaka za ada).

Kwa kuchanganyika, mama akaanza kuumwa sana. Nikawa namuombea sana na kila mara kuongea na Mungu asimchukue mama. Ghafla mama alizidiwa akafa.

Aisee kile kifo kiliniuma sana. Nikaanza kumlalalamikia sana Mungu: "Baba akiwa anaumwa nilikuomba sana apone ila ukamchukua, mama naye nimekulilia sana naye kafa, kweli wewe Mungu upo?"

Kujibu hili swali ziliruhusiwa shida hatari.
Kula kwa siku mara mbili. Ukienda kwa ndugu wanakuona unaenda kulia shida, "We kila siku unakuja kuomba hela kwetu, hakuna ndugu wengine?"

Nilikuwa nikienda kuomba hela za tuition na mitihani ya kujipima na mahitaji ya shule. 2001 nilijiapiza "sitomlilia ndugu yeyote shida, nakomaa nazo mpaka ziniue"

Nimekulia maisha ya shida ya kukondaa balaa. Ya kukosa hata 50 ya nauli ya kupanda daladala kwenda shule.

Nikiwa form one nilijiapiza "Elimu ndiyo mkombozi wangu, nitasoma sana"
Nilisoma balaa kwa njaa na ugonjwa (nilishawahi kwenda shule kichwa kinauma mpaka mzee mmoja njiani alishtukia!)

Nilijiepusha na bangi, unga, sigara, pombe na vyote (maana mitaa niliyokulia hivi vitu ni kawaida sana, vijana na watoto wengi waliharibika na miongoni mwao ni wenzangu).

Kwa msaada wa shangazi na wazazi wa rafiki zangu, maisha yakaenda, Form 4 ikaisha, mara Advance, mara chuo.

Kutoka tu chuo nikaajiriwa. Ashukuriwe Mungu sasa nimejiajiri.

Walewale ndugu kila mara wanapiga simu kuomba msaada. Huwa nasomaga SMS zao na kuzitupa kwenye dustbin.

Huwa nasaidia walionisaidia tu.

Kuna ndugu mmoja nikiwa form 2 nilishawahi kumwambia, "Ukinisaidia Mimi unakuwa unawekeza". Na kweli, amefariki na mimi ndio nasaidia familia yake aliyoiacha.

Kilekile kidogo alichonipa (kuninunulia vitabu form 2 tena viwili) basi narudisha kikubwa kwa familia yake.

Japo huwa najitahidi kuwasaidia walionifungia milango nilipoenda kuwaeleza shida zangu tena nikiwa mtoto, ila wengii nawafungia vioo (Mungu anisamehe kwa hili).

Baada ya vifo vya wazazi...

1.Nilimlalamikia sana Mungu.
2. Niliwaandikia sana barua wazazi wangu na kuziweka kwenye kabati la nguo zao (sijui kama walikuwa wanazisoma).
3. Nilishindwa kwenda kwa rafiki zangu, maana nikifika na kuwaona vile wanaishi kifamilia, niliishia kulia tu.

Nachotaka kukwambia:

1. Wale wale waliojifanya wapo karibu na familia yenu, watakukimbia.
2. Wale wale waliokua wakikupenda, ndio watakao kudhulumu.
3. Wale wale waliokua wakileta shida zao kwa Mzee Zambi, ndiyo watakao kimbia shida zako.

Jipe moyo mama. Pambana.

Mungu yupo na YUPO KWELI.

Japo ukiniuliza mpaka leo "Kwanini Mungu hakusikia maombi yangu asichukue wazazi wangu?" Jibu SINA.

Nachojua Mungu yupo na ananipenda na alinipigania sana.

Usikate tamaa Mungu yupo.

Maisha ya uyatima NYOKOO SANA..!!

#ASANTE
#YNWA
Pole sana
 
Pole kwa uliyopitia Mkuu. Kisa chako kinafanana sana cha rafiki yangu mmoja, Mungu aliwabarikiwa sana kwa miaka ile walikuwa matajiri sana katika mkoa X.

Baba yake alikuwa ni mtu mwenye kampuni kubwa sana, mbaya zaidi huyu rafiki yangu hakubahatika kumfahamu Mama yake mzazi maana alifariki na kumuacha akiwa mdogo sana.

Mzee wake alipata ugonjwa wa stroke pia aliugua kwa muda mrefu ila mwisho wa siku alifariki.

Kabla ya kufariki, huyo mzee hakuwa na mtu wa kumuamini tofouti na mdogo wake hivyo mali zote aliziacha chini ya uangalizi wa mdogo alipofariki tu yule mdogo mtu hata ushirikiano katika mazishi ya kaka mtu ulikuwa wa kusuasua.

Kufupisha story ni kwamba kaka mtu hakumjali tena yule kijana, na akawa akimuwinda ili ampoteze kabisa ili awe na amani na mali zile, kaka mtu alibadilisha umiliki wa kila kitu kikasoma jina lake hapa hata kumpeleka mahakamani inakuwa ngumu kidogo.

Kwa sasa kijana anapambana kivyake na Mungu kambariki na maisha yanamuendea vizuri tu.

Funzo kwetu wanaume, tujitahidi sana kuwashirikisha wake zetu katika biashara zetu hata ikitokea siku moja mmoja wetu akafariki basi mwanamke ataziedeleza biashara na watoto watakuwa salama.

Kuna wanawake wengi sana wamedhulumiwa mali za waume zao kwa kyshindwa kutambua mali halisi za mme wake hivyo kupelekea watu wengine ikiwemo ndugu na marafiki kufaidi jasho lao huku wao wakiwa na maisha ya mateso makubwa na dhiki.

Niwatakie Jumapili njema yenye baraka ndani yake.
Tatizo letu wa Swahili hatuna tabia ya kuwashirikisha mke au watoto wetu kwenye miradi yetu, yani inafikia mpaka mtoto wako wa miaka 25 hajui chochote kwenye biashara za baba! Tuige tamaduni za wenzetu za kuiweka karibu familia kwenye biashara ikitokea baba umefariki watoto wanakuwa wepesi kuendeleza biashara na kujua madeni.
 
Kuna wakati unaweza ukadhani Mungu amekwenda likizo
Mambo ya Mungu hayachunguziki kwa kweli
Mtoto mdogo kama huyu kukutana na Mambo mazito Kama haya Ni ngumu Sana,
Yeye mwenyewe ampe faraja kuu
Dunia haina huruma hata kidogo
Bora ndugu zake wangebaki wangepeana faraja wao kwa wao
 
Naitwa Mr. Liverpool A.K.A Kop mimi ni yatima kama wewe niliyepitia shida nyingi.

Kwanza kabisa nilizaliwa 1989 na wazazi Matajiri sana. Baba alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana na mama alikuwa ni mama wa nyumbani.

Maisha nyumbani yalikuwa mazuri sana, yenye raha na ndugu walikuwa kibao kila mtu kuja kulia shida kwa baba.

Baba alipata stroke 1998 na kufariki ghafla, mama alikuwa mama wa nyumbani asiyejua kuendesha vitu vingi vya baba, maana alihakikishiwa maisha mazuri na mumewe, then alikaa tu nyumbani kuhudumiwa.

Mali nyingi za baba zilitapeliwa na rafiki pamoja na ndugu waliokuwa wakilia shida kwa mama na baba.

Ghafla maisha ya nyumbani yakaanza kuwa magumu. Shule nikahamishwa kutoka English medium mpaka kayumba (hela ziliisha zote mpaka za ada).

Kwa kuchanganyika, mama akaanza kuumwa sana. Nikawa namuombea sana na kila mara kuongea na Mungu asimchukue mama. Ghafla mama alizidiwa akafa.

Aisee kile kifo kiliniuma sana. Nikaanza kumlalalamikia sana Mungu: "Baba akiwa anaumwa nilikuomba sana apone ila ukamchukua, mama naye nimekulilia sana naye kafa, kweli wewe Mungu upo?"

Kujibu hili swali ziliruhusiwa shida hatari.
Kula kwa siku mara mbili. Ukienda kwa ndugu wanakuona unaenda kulia shida, "We kila siku unakuja kuomba hela kwetu, hakuna ndugu wengine?"

Nilikuwa nikienda kuomba hela za tuition na mitihani ya kujipima na mahitaji ya shule. 2001 nilijiapiza "sitomlilia ndugu yeyote shida, nakomaa nazo mpaka ziniue"

Nimekulia maisha ya shida ya kukondaa balaa. Ya kukosa hata 50 ya nauli ya kupanda daladala kwenda shule.

Nikiwa form one nilijiapiza "Elimu ndiyo mkombozi wangu, nitasoma sana"
Nilisoma balaa kwa njaa na ugonjwa (nilishawahi kwenda shule kichwa kinauma mpaka mzee mmoja njiani alishtukia!)

Nilijiepusha na bangi, unga, sigara, pombe na vyote (maana mitaa niliyokulia hivi vitu ni kawaida sana, vijana na watoto wengi waliharibika na miongoni mwao ni wenzangu).

Kwa msaada wa shangazi na wazazi wa rafiki zangu, maisha yakaenda, Form 4 ikaisha, mara Advance, mara chuo.

Kutoka tu chuo nikaajiriwa. Ashukuriwe Mungu sasa nimejiajiri.

Walewale ndugu kila mara wanapiga simu kuomba msaada. Huwa nasomaga SMS zao na kuzitupa kwenye dustbin.

Huwa nasaidia walionisaidia tu.

Kuna ndugu mmoja nikiwa form 2 nilishawahi kumwambia, "Ukinisaidia Mimi unakuwa unawekeza". Na kweli, amefariki na mimi ndio nasaidia familia yake aliyoiacha.

Kilekile kidogo alichonipa (kuninunulia vitabu form 2 tena viwili) basi narudisha kikubwa kwa familia yake.

Japo huwa najitahidi kuwasaidia walionifungia milango nilipoenda kuwaeleza shida zangu tena nikiwa mtoto, ila wengii nawafungia vioo (Mungu anisamehe kwa hili).

Baada ya vifo vya wazazi...

1.Nilimlalamikia sana Mungu.
2. Niliwaandikia sana barua wazazi wangu na kuziweka kwenye kabati la nguo zao (sijui kama walikuwa wanazisoma).
3. Nilishindwa kwenda kwa rafiki zangu, maana nikifika na kuwaona vile wanaishi kifamilia, niliishia kulia tu.

Nachotaka kukwambia:

1. Wale wale waliojifanya wapo karibu na familia yenu, watakukimbia.
2. Wale wale waliokua wakikupenda, ndio watakao kudhulumu.
3. Wale wale waliokua wakileta shida zao kwa Mzee Zambi, ndiyo watakao kimbia shida zako.

Jipe moyo mama. Pambana.

Mungu yupo na YUPO KWELI.

Japo ukiniuliza mpaka leo "Kwanini Mungu hakusikia maombi yangu asichukue wazazi wangu?" Jibu SINA.

Nachojua Mungu yupo na ananipenda na alinipigania sana.

Usikate tamaa Mungu yupo.

Maisha ya uyatima NYOKOO SANA..!!

#ASANTE
#YNWA
He Happ chini umemaliziaje!
 
Umetoa ushauri na ushuhuda wa hisia sana lkn mwisho ndio umeharibu kwa hicho kibwagizo.
 
Hiyo lugha ni nyepesi mno kuliko maamuzi ambayo yanaweza kuchukuliwa baada ya kuona kila ndugu uliye mjua kupitia wazazi wako hawakutambui tena japo walihudumiwa na wazazi wako.
Kwa mapito magumu ya uyatima niliyo yapitia sidhani kama kuna adhabu nyingine kubwa hapa duniani au huko mbinguni ya kunitesa,nimekuwa sugu.
Kweli uyatima nyoko sana
 
You are not alone

#YNWA
 
Back
Top Bottom