Kwako Waziri wa Ardhi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,980
Mli decentralize madaraka ya Kamishina, Msajiri wa hati etc hadi Mkoani kurahisisha kusaini hati za nyumba/viwanja na nyaraka zingine na hivyo kupatikana kwa nyaraka hizo kwa muda mfupi.

Kwa taarifa yako, baada ya Lukuvi kuondoka, it is as if ofisi ya Kamishina iko Dar au Dodoma.

Tumerudi kule kule kwa miezi kibao kabla ya kupata nyaraka hizo.

Please ingilia Kati. Hawa watu wa Ardhi wameshindikana. Na Wànasema.kuwa watakuja mawaziri watawaacha
 
Back
Top Bottom