Hivi mimi hutaki kunambia jamani? Mie mdogo wako hivyoooo
Story si yako Mkuu unajitengenezea muhusika mwingine, ujisafishe
Hahahahahaah dahHahaha sio kwamba ana moyo ila amekuwa fisi. ..Wajua ukiwa fisi inakuwa hausikii maumivu. Hata ukisikia unaweza Kuya handle. .. so walimua kuendelea but sio kwa serious relation
AiseeeeeeKimya kimya halafu nawaangalia wapiga kelele nacheeeeeeeeka mno
Unamfungulia mtu siredi ili iweje hahahahahahaha we unafungua hapa ukikaa dakika kadhaa pm imejaa lawama nani anataka hahahahhahahahaha hebu mieHahaha. .kumbe wewe unafaa kuwa katibu wa Chama chetu Mafisi. .kimya kimya ndio mpango. .. Hakuna kumfungulia mtu thread/wala kufunguliwa aise. .... hatutaki pressure
Haahhaahhahahahahahahah wooooiiiiiiHahaha humu mkuu unaweza kumueleza mtu mapema na mkakubaliana. .but kumbe kwenye Playlist yake wewe ni mtu wake wa 6 humu
🙄🙄🙄🙄🙄🙄Hahaha humu mkuu unaweza kumueleza mtu mapema na mkakubaliana. .but kumbe kwenye Playlist yake wewe ni mtu wake wa 6 humu
Nalia kumbe hunipendiHahaha. ..weee thubutu jamaa ni mtu wangu wa karibu sitaki kumuuzisha gazeti humu. .hahaa waweza kukuta ndiye Cole Williams
Eeeeh
Aiseeee watu wengi hawatokwemda mbinguni
Eeeh vipi tena kiongozi?????Aiseeeeee
Mbinguni huko hawafiki kabisa mkuu
Aiseeee watu wengi hawatokwemda mbinguni
Nalia kumbe hunipendi
Haahhaahhahahahahahahah wooooiiiiii
Hahahahahaah dah
Whaaaat!! Sasa mbona humu ndani anaplay udecentAahhh yupo sio mtu wa kuyumbishwa na vitu vidogo kama hivyo. .Yeye mwenyewe AliiShia kucheka tu... na wala Haku achana na yule manzi waliendelea kulana kimya kimya tu
Hahaha humu acha kabisa. Wewe unajibebisha kwenye thread. .kumbe wezi wa penzi lako wana kuibia huko pm wana kuchora tu
Ukipatwa usisahau kutuletea mrejesho.Haha hahahwh..ila mimi sijawahi kufikwa na hayo mzee baba. ..yaani huwa sihitaji kabisa hizo mambo
Whaaaat!! Sasa mbona humu ndani anaplya udecent