Kwako Profesa Ndalichako

Kwako Profesa Ndalichako

cheeter

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
475
Reaction score
155
Kuhusu:Mchaka mchaka wa vyeti feki.
Mimi hili nakuunga asilimia 100%.Huu mchakato uendelee na yeyote atakayebainika basi sheria ichukue mkondo wake.
Ila sasa unapoenda mbali zaidi kubaini watu ambao hawakua na Direct entry ya kuingia Chuo utakua hutendi HAKI.maana ni serikali iliyopita ndo iliweka mfumo wa Foundation/Bridging Programmes.Sasa nakaa najiulza ni nani ambaye anamakosa?hao waliopita through that way ni sababu ya mfumo ulioalalishwa na serikali iliokua madarakani.
Ushauri kwenye hilo ni kubadilisha/kutoa huo mfumo na kuanzia hapo.sio kurudi nyuma..maana ukisema urudi nyuma wapo watu watakaoji wale wanafunzi waliokua wanamaliza form six(Voda fasta) wanaenda kufundisha nao wakaguliwe wamefikaje hapo walipo.
Hii ni nchi yetu Sote,Toa mfumo uliokuwepo na sio kuwasaka waliopitia huo mfumo maana ukifatilia utaona walikopeshwa kabisa na Loans Board na wanatakiwa kurudisha hiyo pesa.
Mwisho kabisa:zoezi la vyeti feki liendelee kwa nguvu,ikiwezekana wekeni email address au special number ambazo wananchi watawatumia details za watu wao wa karibu ambao wapo BOT,NSSF,na wizara zote za serikali wakila mema ya hii nchi huku kina kayumba wenye divison 1 wanatembea kila kukicha na bahasha ya kaki wakitafuta kazi ambazo hazipo..wakibahatika sana wanapata za kwa wahindi.
 
Haiwezekani tukeshe kupiga misuli,halafu wengine wanaingia vyuoni na EE mbili,hili halipo kabisa.Hawa ndio wanaosababisha wasomi wote waonekana hamna kitu.

Mama ndalichako kama kuna maiti zilizikwa huku uchunguzi haujakamilika fukua makubali mpaka tuheshimiane.
 
Unajua kukesha wewe?au unamaanisha kukesha club?unaongea kwa niaba ya nani?maana we si mkeshaji hata statements zako tu inaonekana ulipiga 360°form four.
Two principal pass(E) kuingia chuo inatumika toka muda mrefu sana...na aki base kurekebisha na kutoa watu ambao wapo kazini wana Principal pass 2 basi hata baba yako hatachukua mafao.
 
Ya serikali iliopita ni vyema yaachwe tuanze mapya ambayo ni mazuri zaidi, kufukua ya serikali iliopita yanaweza kuleta vurumai kubwa.
 
Unajua kukesha wewe?au unamaanisha kukesha club?unaongea kwa niaba ya nani?maana we si mkeshaji hata statements zako tu inaonekana ulipiga 360°form four.
Two principal pass(E) kuingia chuo inatumika toka muda mrefu sana...na aki base kurekebisha na kutoa watu ambao wapo kazini wana Principal pass 2 basi hata baba yako hatachukua mafao.
Itakuwa una E mbili wewe sio bure.Naona umeanza kunishambulia mimi,badala ya kushambulia hoja.

Ndalichako kashasema haijalishi upo mwaka wa ngapi au upo kazini utaondolewa tu!.Na mimi nasema muondolewe tu kama hamna vigezo.

Mwaka jana na juzi nimeshuhudia watu wenye div 4,wanakuja kuchukua degree,elimu ya wapi hii?.

Serikali haiwezi kufumbia uchafu kisa uliruhusiwa awamu iliyopita,kuna umuhimu gani wakukamata wabadhirifu wa awamu iliyopita kama unadai aanzie hapa?.

Kama ulifisadi elimu na huna vigezo,jiondoe mapema upishe waliosoma na wenye vigezo,wakae mahali panapowastahili.

Inauma kupotezewa muda lakini haina namna lazima muondoke tu.
 
unajua BRN(Big results Now) ilianzishwa kwa 7bu zipi?mimi nachotaka kusema,Serikali ina mipango mizuri sana.Suala la Vyeti feki(Fogery) ni sahihi kukagua bila limitation ya mwaka gani.
unaposema unajua watu walikua wana Div 4 na walienda chuo,ni kweli wapo hata mimi nawafahamu wengi tu.Ila waliingia kwa mfumo Gani?Kama si Serikali iliyopita iliweka huo mfumo.Hii serikali iliyopo ni ya chama kilekile au wameingia wapinzani?..Contradictions ziko nyingii..
WATANZANIA TUNATAKIWA SASA KUDAI KATIBA,NA SERA YA ELIMU IJULIKANE(education Policy) HATA KWA KIONGOZI YEYOTE YULE ATAKAYEINGIA MADARAKANI ASIMAMIE TUNACHOKIAMINI NI SAHIHI.SIO HUYO KIONGOZI ASIMAMIE ATAKAYO ONA YEYE NI SAHIHI.
 
WATANZANIA TUNATAKIWA SASA KUDAI KATIBA,NA SERA YA ELIMU IJULIKANE(education Policy) HATA KWA KIONGOZI YEYOTE YULE ATAKAYEINGIA MADARAKANI ASIMAMIE TUNACHOKIAMINI NI SAHIHI.SIO HUYO KIONGOZI ASIMAMIE ATAKAYOONA YEYE.

Hili umeloandika hapa ndio la msingi na umeandika kistarabu bila mihemuko.
 
JAMAN MM NAULIZA HIZO DD KAMA PRINCIPAL PASS ZA MWAKA GAN ,MAANA KAMA NI 2011 MM NTAFUTWA CHUO
 
unajua BRN(Big results Now) ilianzishwa kwa 7bu zipi?mimi nachotaka kusema,Serikali ina mipango mizuri sana.Suala la Vyeti feki(Fogery) ni sahihi kukagua bila limitation ya mwaka gani.
unaposema unajua watu walikua wana Div 4 na walienda chuo,ni kweli wapo hata mimi nawafahamu wengi tu.Ila waliingia kwa mfumo Gani?Kama si Serikali iliyopita iliweka huo mfumo.Hii serikali iliyopo ni ya chama kilekile au wameingia wapinzani?..Contradictions ziko nyingii..
WATANZANIA TUNATAKIWA SASA KUDAI KATIBA,NA SERA YA ELIMU IJULIKANE(education Policy) HATA KWA KIONGOZI YEYOTE YULE ATAKAYEINGIA MADARAKANI ASIMAMIE TUNACHOKIAMINI NI SAHIHI.SIO HUYO KIONGOZI ASIMAMIE ATAKAYO ONA YEYE NI SAHIHI.
Umeongea mengiii ila mi nakupa like kwenye kuunda katiba inayozingatia dira ya nchi inayotafsiriwa na sheria na sera ya elimu.
 
Hamu Cna
 
Attachments

  • 1469203238040.jpg
    1469203238040.jpg
    86.7 KB · Views: 54
Haiwezekani tukeshe kupiga misuli,halafu wengine wanaingia vyuoni na EE mbili,hili halipo kabisa.Hawa ndio wanaosababisha wasomi wote waonekana hamna kitu.

Mama ndalichako kama kuna maiti zilizikwa huku uchunguzi haujakamilika fukua makubali mpaka tuheshimiane.
Real....watu wamedharaulika sababu hiyo....mtu ana EE afuu anaenda sant joseph anatoka na honorouble first class mwenye one ya tatu mlimani katoka na second class......fharau zimezid.
 
Kuhusu:Mchaka mchaka wa vyeti feki.
Mimi hili nakuunga asilimia 100%.Huu mchakato uendelee na yeyote atakayebainika basi sheria ichukue mkondo wake.
Ila sasa unapoenda mbali zaidi kubaini watu ambao hawana Direct entry ya kuingia Chuo utakua hutendi HAKI.maana ni serikali iliyopita ndo iliweka mfumo wa Foundation/Bridging Courses.Sasa nakaa najiulza ni nani ambaye anamakosa?hao waliopita through that way ni sababu ya mfumo ulioalalishwa na serikali iliokua madarakani.
Ushauri kwenye hilo ni kubadilisha/kutoa huo mfumo na kuanzia hapo.sio kurudi nyuma..maana ukisema urudi nyuma wapo watu watakaoji wale wanafunzi waliokua wanamaliza form six(Voda fasta) wanaenda kufundisha nao wakaguliwe wamefikaje hapo walipo.
Hii ni nchi yetu Sote,Toa mfumo uliokuwepo na sio kuwasaka waliopitia huo mfumo maana ukifatilia utaona walikopeshwa kabisa na Loans Board na wanatakiwa kurudisha hiyo pesa.
Mwisho kabisa:zoezi la vyeti feki liendelee kwa nguvu,ikiwezekana wekeni email address au special number ambazo wananchi watawatumia details za watu wao wa karibu ambao wapo BOT,NSSF,na wizara zote za serikali wakila mema ya hii nchi huku kina kayumba wenye divison 1 wanatembea kila kukicha na bahasha ya kaki wakitafuta kazi ambazo hazipo..wakibahatika sana wanapata za kwa wahindi.
Wewe jamaa mnafiki kichizi yaani
 
Tanzania my home place, I love you much but you know what your people are really not lovely to you. My grandfather treated you the way he wanted, my father too and me the way I want. Where is your destiny? You and I don't know
 
Jamani hili zoezi haliitaji hasira zaidi waenda makanisani wasali sana na wale waenda misikitini waswali sana ili wasije wakapitiwa na hili fagio la chuma.Nb ukienda kwa sangoma hautatoboa.
 
Awamu inayofata Waziri Mpya Wa Elimu Huenda Akaeka Kuingia Chuo "Minimum Entry" ni CDE, Wale Waliongia Kwa DD Za Awamu Hii wote wasimamishwe Chuo Mana Kila Mtawala Hapa Anaingia Na Sheria Zake.
 
Back
Top Bottom