Wewe kunguni umesoma mwongozo wa JF kuhusu majina au unadandia tu na kujiliza hapa.?Hilo lijamaa halijitambui kabisa. Limejiunga leo kwa kutumia ID inayofanana na jina langu. Sasa nashangaa imekuwaje Jamii Forum waruhusu kitendo cha aina hiyo kufanyika. Hii ni kutaka kunichafua . Lakini pia ni kushusha hadhi na heshima ya jukwaa hili.
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME mana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
We mwamba ni hatari sana.🤣🤣🤣🤣Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME mana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
Ila bado hujamtaja ni nani au inamwogopa? Kama inamwogopa, poa usimtaje!Hatimaye tumegundua ww ni nani kujificha nyuma ya fake ID!
Yani ni kama njugu na njugumawe??Hawa ni watu wawili tofauti mkuu hata kisheria inaeleweka hivyo.
Mmoja ni Lucas Mwashambwa na mwingine ni Lucas mwashamba.
Na mimi kesho nafungua nyingine kwa jina la Lucasi MwashambwaSijapenda kabisa walichokifanya Moderator na sijajua kwanini wameruhusu jambo hili kumpatia mtu ID inayofanana na mimi isipokuwa kwa herufi moja tu. Hii siyo sawa na siyo haki hata kidogo.
Yule hana miradi ila kachota mabillion ya maana pale tanesco na cha pili jiwe hajawahi mtumia pale tanescoLabani og Siokweri kua kapoteza mvuto kumbuka jiwe alimtumia ilikuirudisha tanesco na ile misimamo aliomupa .Hata saa100 nae alimupa kitengo kwaajiri ya kukamilisha kitu frani na ku Mweka bench kulikuja baada ya janja watu kuanza kumwandaa Kama mgombea ugumu # Huyu janja usimimpe time ya kujielezea chapu anakuteka.huyu anajiweza na ana miradi mingi mikubwa ukiambiwa unaweza kimbia hivyo mutu Kama ndugu Lucas mwashamba kumu diss kiaina nikujitekenya naninashangaa vijana hatupendani tunataka wazee watuongoze
Na huyo lucas mpya naye atafanya hivyo hivyo!Verify account yako iwe na tick
Na mimi nafungua kwa jina la Lucas Mwashambwa' tuone utanifanya nini.Na mimi kesho nafungua nyingine kwa jina la Lucasi Mwashambwa
Mganga kafa,inabidi atafutwe fundi mwingine mkali zaidi,mganga toka enzi na enzi yule yule,kachoka!Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January Makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME maana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
Alimtumia kwenye muungano na mazingira nasikia Zia hapoYule hana miradi ila kachota mabillion ya maana pale tanesco na cha pili jiwe hajawahi mtumia pale tanesco
Huyu ni milionea ana fedha nyingi alochukuwa kwenye miradi ya umeme.Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January Makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME maana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
Duh pole sana kakaSijapenda kabisa walichokifanya Moderator na sijajua kwanini wameruhusu jambo hili kumpatia mtu ID inayofanana na mimi isipokuwa kwa herufi moja tu. Hii siyo sawa na siyo haki hata kidogo.
Huenda kuna mtu kam-hack. Huyu si Lucas mtoa machozi ya furaha.Lucas Mwashambwa
Watu mnapenda kucopy vya watu hata sio sawa.
Moderator hii sio sawa nasimama na shemegi angu chawa mwandamizi Lucas
Kaamua kucopy kila kitu cha shemegi angu Luca chawaHuenda kuna mtu kam-hack. Huyu si Lucas mtoa machozi ya furaha.