passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,935
Unafikri ni kipi mzee Mohamed ayupo sahihi Mkuu katika kumsoma kwako?Mzee huyu ni Cuf au ACT nadhani,yuko sahihi kwa baadhi ya mambo ila ni muoga sana kipindi cha JPM alikuwa anaandika kwa tahadhari akiogopa kushughulikiwa,sasa anajiachia tu
Mimi nafikiri chaguzi hizo zinafanyika random tu bila kuaangalia udini , ukianza kufanya chaguzi kwa kubalance mambo ya udini apo ndipo tatzo litakapo anzia .serikali haina dini mkuu.
Mzee huyu ni Cuf au ACT nadhani,yuko sahihi kwa baadhi ya mambo ila ni muoga sana kipindi cha JPM alikuwa anaandika kwa tahadhari akiogopa kushughulikiwa,sasa anajiachia tu
Mkuu Min,Mimi nafikiri chaguzi hizo zinafanyika random tu bila kuaangalia udini , ukianza kufanya chaguzi kwa kubalance mambo ya udini apo ndipo tatzo litakapo anzia .serikali haina dini mkuu.
Mimi nafikiri taasisi mbalimbali za katholic na Lutheran hutoa wasomi mahiri katika nyanja mbalimbali , kuliko taasisi za kiislamu na madhehebu mengine hasa ya kilokole , ndio maana wakiitajika watu mahiri kwenye ngazi mbalimbali za kiutawala asilimia kubwa hukuta ni watu wa dini hizo , wala sifikiri kama kuna ubaguzi wowote .Mkuu Min,
Hoja si serikali haina dini, hoja ya mzee Mohamed ni Kwanini uwiano uwe na tofauti kubwa? Anafikiri kuna mahala hakupo sawa kwa mamlaka katika chaguzi katika ngazi tofauti tofauti za uongozi.
Unafikiri nini kinasababisha mbali na kuwepo Raisi muislamu, waziri Mkuu muislamu lakini bado hapana mlinganyiko unaokaribiana?
Mkuu sijawahi kuwa mgalatia naomba unitake radhi😁hapo ndipo kwenye tatizo, ikitokea raisi muislamu wagalatia munalalamika Udini kila kukicha, bila ya hata hoja za msingi, ila munayofanya nyinyi huwa muna hoja nyingi za kujitetea.
ChiefMimi nafikiri taasisi mbalimbali za katholic na Lutheran hutoa wasomi mahiri katika nyanja mbalimbali , kuliko taasisi za kiislamu na madhehebu mengine hasa ya kilokole , ndio maana wakiitajika watu mahiri kwenye ngazi mbalimbali za kiutawa asilimia kuwa hukuta ni watu wa dini hizo , wala sifikiri kama kuna ubaguzi wowote .
Thread 'Hatusambazi propaganda za udini kwa wanasiasa,tunalipenda taifa letu na tunakemea vikali' Hatusambazi propaganda za udini kwa wanasiasa,tunalipenda taifa letu na tunakemea vikaliKwa takwimu hizo naona kuna tatizo mahala,,,tusizungumze kwa hisia hapa bali tuzungumze kama watu wakomavu wa mambo
Huwezi sema kwa takwimu hizo eti uteuzi ulifanyika bila mpangalio,,hapana ila kuna lengo nyuma yake na kama ungekuwepi uteuzi bila mpango maalumu basi kada fulani ingejikuta ina waislamu wengi pia.
Ni nini cha kufanya,,,wenye mamlaka na uteuzi ebu jaribuni kuondoa hii tabia ya kupendeleana kwa misingi ya kidini,,sikatai haiwezi mizani ikawa sawa lkn kusiwepo na tofauti kiasi kwamba mtu anajiuliza hii imekuwaje?
Kwa takwimu hizo kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida na ambaye hajamezwa na hisia au mapenzi kwa dini yake ataona hakuna haki hapo
Ni hayo tu
Waislam wasomi wapo kwa kiasi chake tena ni wabobezi kwenye fani zao nawasio penda kuyumbishwa , sema tatzo la Tanzania mikoa mingi yenye jamii za Waislam wengi walikua nyuma kidgo kwenye mambo ya kielimu, apo tatizo sio dini tatizo ni vipaumbele vya jamii husika .Chief
Kwanza nashukuru kwa maoni yako,,,na nimependezwa na mjadala huu mpaka sasa haujaingiliwa na wapuuzi wa mihemko
Hivi mpaka karne hii ni kweli hakuna waislamu wasomi? Au ndio mambo yale yale kuwa waislamu walikazania madrasa tu?
Unashawishika na hilo?
Hali ikoje kwa sasa? Kuna utofauti? Kwa nini?Wakuu Heshima mbele.
Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed saidi ni mtu ambaye mara nyingi ameweza kuielezea historia Ya Tanganyika tangu harakati za uhuru zinapoanza mwanzoni kabisa, mzee Mohamed ameweza kuelezea ni kwa namna gani wazee Wa mwanzoni kabisa wa TANU ambao wengi wakiwa ni waislamu na wakaweza kumpokea mwalimu kwa upendo wote.
Mzee Mohamed Said mimi ni mtu ambaye napenda sana unachoandika. Lakini mbali na hilo watu wengi wamekuwa wakimshutumu mbali na kipaji na talanta kubwa aliyonayo ya kuandika, historia zake mara nyingi huwa zinaambatana na udini ( ZEALOTISM).
Mfano; katika moja ya komenti zake nitamnukuu hapa chini
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
Hio ni moja ya komenti aliyoiandika mzee wangu Mohamed kuhusu uwiano kati ya waislamu Na wakristo. Na akaendelea chini kwa kusema kwamba:
Uteuzi huo umekuwa kama Sera kwa teuzi zinazoendelea ndani ya miaka yote mitano. Vilevile kama Mwongozo kwa wateule wenye mamlaka ya kuteuwa. Mwelekeo huo unakinzana na Katiba ya nchi ibara ya 13(4)(5), inayokataza ubaguzi wa aina zote. Kwa hakika Taifa halihitaji kiongozi wa nchi akiwa Muislamu basi ateuwe idadi kubwa ya Waislamu wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi au akiwa Mkristo atumie uongozi wake kuteua idadi kubwa ya Wakristo wenzake katika uongozi nchini. Au akiwa Mzanaki ateuwe idadi kubwa ya Wazanaki wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi na mfano wa hayo.
Kama takwimu hizi ni za kweli mzee wangu Mohamed Said unafikiri ni nini kinasababisha kuendelea kuwepo kwa Mizani kutoku-balance?
Katika kitabu cha Kwa heri ukoloni kwa heri uhuru. Umetuonyesha ni jinsi gani makubaliano Baina ya waziri mkuu wa Kenya Ndg. Jommo kenyata na waziri mkuu wa Zanzibar Ndg. Mohamed shamte hayakufanikiwa na kupelekea kunyanga’nywa Kwa waislamu Taasisi ya (MIOME) mombasa institute of muslims education.
Mzee wangu Mohamed si mtu mwenye nia mbaya akijaribu kueleza kwa namna gani historia ya TANU haikuwa sawa kwa kiasi fulani, hivyo anajaribu kutufumbua macho zaidi. Lakini ni kama vile waislamu bado ni watu ambao kwa maandishi yake hakuna uwiano sawa na wakristo.
Mzee wangu Mohamed Said mimi naomba kufahamu kutoka kwako mbali na yote , ni kipi kifanyike ili kutengeneza uwiano sawa baina ya waislamu na wakristo katika Ngazi zote za nchi yetu? Haswa katika kipindi hichi tulichonacho elimu inatolewa kwa usawa bila kujali dini zetu.
NB. This is not intended to divisive or inflammatory only for learning purpose.
ni chama cha siasa chenye element za udini. Ndio cuf ya wakati ule, hawakuona aibu kuji brand kwa dini ile katika mikao ya mikutano yao ya kampeni sura ilikuwa ni ya kidiniKuwa kwake ACT tatizo linakuja wapi?
naona unajibu kwa ID nyingine mzee wetuChief
Kwanza nashukuru kwa maoni yako,,,na nimependezwa na mjadala huu mpaka sasa haujaingiliwa na wapuuzi wa mihemko
Hivi mpaka karne hii ni kweli hakuna waislamu wasomi? Au ndio mambo yale yale kuwa waislamu walikazania madrasa tu?
Unashawishika na hilo?
Kupitia comment yako sasa naamini kwamba kumbe kuna watu huwa mnawasingizia wana id mbili kumbe uzushi tunaona unajibu kwa ID nyingine mzee wetu
Achana na huyo mzee, hoja yake ni mfu kwa 100%.Wakuu Heshima mbele.