Kwako Mhe. Rais

Kwako Mhe. Rais

KaziIendelee

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
327
Reaction score
231
Mhe. Rais,

Kwanza nikupongeze sana kwa kazi nzuri sana unayoifanya. Wanaobeza utendaji wako hawajui ulichukua nchi ikiwa katika hali gani.....lakini umesimama imara.

Mhe. Rais, mimi nina ushauri mmoja kwako unaohusu vijana wa JKT OP MIRERANI waliomaliza mikataba yao. Mhe. Rais, ni kweli kwamba vijana wetu waliambiwa kwamba JKT haiajiri na walikuwa wanajitolea, lakini NAKUOMBA UWAKUMBUKE VIJANA WALE kwasababu wameonesha uzalendo mkubwa kwa kujitolea kwao kwa miaka 3. Ndani ya JKT na serikalini wametekeleza miradi mingi yenye tija lakini kwa bahati mbaya sana miradi iliyopewa kipaumbele cha ajira ni Dodoma na HEP.

Hivyo nakuomba Mhe. Rais uwakumbuke wale vijana kama mlivyofanya kwa OP Magufuli kwakuwaajiri kuwa watendaji wa kata hasa kwa wale waliokuwa na shahada. Asante.


Kazi Iendelee
 
Na akiwakumbuka vile vile akumbuke na OP za nyuma kuanzia uzalendo wapi waliotengeneza barabara ya babu wa loliondo kipindi hicho nao waliambiwa kama nyie vile vile kwa sasa wako mtaani hawana ishu.
 
Back
Top Bottom