mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,502
- 1,390
Baada ya vilio vyako fake mitandaoni nataka kujua what is next? unapanga nini na vipi majeruhi walioingia mitaani kwa kufata wito wako?
Unapanga nini na vipi kuwapatia ubani familia za waliopoteza maisha yao katika maandamano uliyoshinikiza?
Au na wewe utakuja na ule msemo wa Nyerere baada ya vita vya uganda na Tanzania kwa maaskari waliorudi vitani "hatuna cha kuwapa, cha kuwapa ni ahsante"?