Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

Kwako Lema - Mbunge wa Arusha mjini

majikupwa

Senior Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
178
Reaction score
36
mh lema
kwanza pole na majukumu ya kampeni kalenga.
Naanza kwa kusema mh umepewa dhamana kubwa jimboni kwako dhamana hiyo ni kuwasaidia wana arusha wakiwemo vijana na wamama ktk jimbo lako
mh najua ulitoa ahadi nyingi ikiwemo kujenga machinga complex
kwakua serikali ya ccm ilikuvua ubunge kwa hila zao kwa muda mrefu ukashindwa kutekeleza ahadi hizo

basi kwakua umesharudishiwa wadhifa wako nakuomba ujitahidi kuwasaidia wapiga kura wako wapate jengo hilo kwa wakati kwan nimeshuhudia wamama na vijana leo wakimwagiwa miradi yao na wagambo
pia mh kumbuka kua hawa wakina mama na vijana wengi wao miradi yao wanaipata kwa kujikopesha ktk vikundi na baadh wanapata mikopo ktk saccos
sasa watawezaje kurudisha mikopo yao kama miradi yao imemwagwa
pia mh kumbuka kwamba yote haya yanafanyika ili ccm badae waseme kua hakuna ulichowasaidia wakina mama hawa pamoja na vijana hvo mh nakuomba baada ya kampeni kalenga ujitahid angalau hili la machinga ili 2cwape mafisadi cha kuongea uchaguz ujao
najua wewe ni muelewa na ni mpigania haki pia naamini utakua umenielewa
nakutakia kampeni njema mungu akuongoze kumkamata mwiz kama ulivomkamata mwiz sombetini
ahsante

mungu ibariki tanzania mungu ibariki chadema
 
Aisee Hongera Kwa Imani yako Kwa Kamanda Lema! Mkombozi wa mayanki wa Arusha Sijui mpaka sasa wangapi wamefaidika!
 
Hata kama Lema akishindwa kufanya makubwa Arusha lakini impact yake kitaifa inatufanya tushukuru watu wa Arusha kwa kufikiria zaidi ya Arusha.
Lema wewe ni mpiganaji haswa tupo pamoja.
 
Hata kama Lema akishindwa kufanya makubwa Arusha lakini impact yake kitaifa inatufanya tushukuru watu wa Arusha kwa kufikiria zaidi ya Arusha.
Lema wewe ni mpiganaji haswa tupo pamoja.

pamoja kamanda ubarikiwe kwa maono yako ya fikra za mbali
 
lema umeona upepo unaelekea kubaya mwaka 2015 huna chako unaanza kuja na id feke kujibu ulivyoshindwa kuwatumikia wananchi .uliahidi na umeshindwa kufanya kaa kimya
 
LEMA zile machinga complex ziko wapi? vijana wa Arusha waliokusapoti kwa hali na mali ndio wanagundua sasa kuwa uliwauza! hakuna cha mikopo wala Machinga complex!
 
Uko sahihi mkuu.MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI CHADEMA
 
Lema ataenda magereza tena kuwatetea wanyonge huko magereza

wataanza hao wanaowalipa ili mpambane na ukweli wa cdm hf pole sana kwan ndugu zako wapo kggn wanapambana na ukali wa maisha ulio7bishwa na ccm wanajua kijana wao yupo kazini town kumbe kaz yenyewe ndo hyo ya kushabikia wizi kwa bk7
 
Back
Top Bottom