Ur the gretest thinker coz hii umeiweka ktk 3D.ahahaha...unahisi ndo yeye nini!??? mjanja wewe...
hahahahaaaaaaaaaaaa..... neno iyooo!ahahaha...unahisi ndo yeye nini!??? mjanja wewe...
Ndo kama yale ya Belinda Jacob.Ulishindwa nini kumPM?!
Ni wachache sana hapa Jamvini wanafikiria kama wewe.
Respect
We Bramo, nimekuja hapa niambie unasemaje? Itakuwa vizuri ujumbe wangu ukauweka wazi hapa hapa jamvini.Baada ya kupitia hiihttps://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/149390-nimfanyeje-kiumbe-huyu.htmlAmbayo kwa kiasi kikubwa imeno touchNimejikuta navutiwa na uandishi wako,nahisi lazima utakuwa Mtaalamu wa Lugha ya Kiswahili, Please Please Please ni PM,Nina Message yako Nziiito.