Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Napenda kutoa masikitiko yangu kwa uongozi wa timu yangu ya Young Africans Sports Club (Timu ya Wananchi) kwa jinsi ulivyotelekeza wavuti ya klabu. Kwa sekretarieti iliyopita tulizoea kupata habari motomoto za klabu kupitia wavuti hiyo. Tuliweza kufahamu mambo mengi hata kabla hayajatolewa katika vyombo vya habari.
Tangu tufungwe katika mechi ya Nani Mtani Jembe wavuti hiyo imetelekezwa kama vile haina mwenyewe. Nakuandikia wewe Jerry Muro - Afisa Habari wa Klabu yetu ulishughulikie jambo hili fasta tuendelee kupata habari motomoto za klabu kupitia wavuti yetu. Kuto-update wavuti hiyo kumetufanya kufanana na wale jamaa wa Msongamanoni ambao wamezoea hali hiyo tangu zamani.
Wakuu wote mlioko Dar es Salam mnaoipenda timu ya wananchi na wenye nafasi naomba mnifikishie habari hii kwa Jerry Muro.