KWAKO Baba V, S.L.P CHITCHAT .JF.


Mngetumia king'amuzi aina ya Kinana...
 

leo sherehe tu kijijini kwenye kibanda cha mzee wetu Kaizer.naona timu imekamilika ya wanywaji nategemea leo kuwa mfalme mswati nikitupia jicho huku na kule
 
Mentorl akanitonya niende nyumbani wakwe zake kina watu8 na measkron wana mabinti wengi sana akina Passion Lady, charminglady, ladyfurahia(huyu ni mke wake Mentor, hatuelewani kwa sababu nilimwonya aache tabia yake ya kwenda mjini kujitangaza yupo single anatafta mme, wakati mme wake amemwacha kijijini anakunywa mbege na KakaKiiza kwenye kibanda cha mzee Kaizer
SIJUI ULIKUWA UNAAMANISHA NINI HAPO PENYE ALAMA NYEKUNDU SIJAKUELWA KABISA NA NAONA SASA UNATAKA KUHARIBU NDOA YANGU USHINDWE NA ULEGEE NA UKATUPWE BAHARINI MVUNJA NDOA ZA WATU WEWE LINI NILIKWAMBIA MANENO HAYO


kwetu siti zimejaa Mwanathp....
jina gumu bana aaah!!

 
Naomba kiongozi wetu wa cc mwonye huyu mtoto naona anataka kuvuruga mwezi wangu huyu mtoa mada Baba V
 
Last edited by a moderator:

Kuna watu hawapendi kusikia raha ya ubingwa akiwepo Asprin, Bigirita
 
Last edited by a moderator:
Naomba kiongozi wetu wa cc mwonye huyu mtoto naona anataka kuvuruga mwezi wangu huyu mtoa mada Baba V

yani huyu shemeji yangu kwa kujitetea tu nimenyosha mikono,kwa sababu huku kijijin hawakuon unayoyafanya mjin ndio mana unanishtaki sio?
 
Wewe Kaizer unavizia binti kwangu au?
 
Last edited by a moderator:
sio wote wenye tabia kama yako elewa lakini na mm siko kijijini Baba V njoo umwambie ananiharibia mwezi wangu huyu
yani huyu shemeji yangu kwa kujitetea tu nimenyosha mikono,kwa sababu huku kijijin hawakuon unayoyafanya mjin ndio mana unanishtaki sio?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…