Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
kipipi umesema lako toka moyoni, urembo wake arabela chit chat ataipa thamani, najua ushindi ni wake yeye namba wani, kipipi nami slave ushindi twautamani, na wengine twawaomba tupige kura za ndio.
Ayaaaaaa,umepaona,aibu gani hii kwa mtakatifu leo...
If this isn't LOVE . . . then what is it???
Come give me a hug my dear!
...............:hug:..............
Halafu hebu nisaidie bosi wangu,mbona kama naanza kumpendapenda dada mtu,ni nini hii...
NB: Ukisoma futa asije akaona ....
Ayaaaaaa,umepaona,aibu gani hii kwa mtakatifu leo...
kipipi umesema lako toka moyoni, urembo wake arabela chit chat ataipa thamani, najua ushindi ni wake yeye namba wani, kipipi nami slave ushindi twautamani, na wengine twawaomba tupige kura za ndio.
wampenda sis. Upendo upi mmoja wapo?
Arif wewe njoo ule x.mass na mimi Bunju.
umeona eeh hubby