Kwaito Kwenda Mbele . . .

Allien,
wewe ni MC au mwandishi wa habari za udaku? je hawa wahusika wana taarifa kwamba kuna promo yao hapa JF?
 
mkuu kweli kwaito iko mahali pake
isipopigwa kwenye harusi au sherehe mambo hayaendi kabisa
Asante sana kwa kutuonyesha kwaito mkuu
 
Duh, thread yavutia kwelikweli! Halafu kuna maeneo kama ungepiga vizuri (if at all umepiga wewe)

ungenitoa loh! Ingekuwaje leo najiona jf! Maana kuna Ma MC umewarusha hapo. . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…