kwaito and Sweeet Reggae music

kwaito and Sweeet Reggae music

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
naomba kwa yeyote anayejua majina ya nyimbo za kwaito zinazopigwa sana klabu anipe majina yake pia majina ya nyimbo za sweet reggae za hv karibuni.
 
unataka majina au nyimbo zenyewe?

Kuna mhanga nawe, kiamba se kusa, motingi, zombo, maund thela na nyingnezo
 
Busy signal-missing my baby
giption-puff puff pass
j cooby ana regge moja tamu sana nimeisahau jina, alafu pia search neno 'heart and soul riddim'

kuhusu kwaito ntarudi tena

nashukuru mkuu,nasubiri hizo kwaito
 
Kwenye sweet reggae usitafute majina ya nyimbo bali ukitaka utamu zaidi tafuta kupitia riddims.Kwa mfano ukiitafuta Antique riddim huko utakutana na richie spice gyan marley etc.ama thin twice riddim, cool and deadly,heart n soul etc.
 
Inamanda-L'Vovo Derrango
Mzimba Shaker -Dj Cleo
Sizohlangana Ku Facebook -Dj Cleo
Kwaze Kwamnandi
Follow me-Dj Cleo

Ngiyakwemukela -karibu

Kuhusu reggae ,nadhani utakuwa unazungumzia riddim -reggae coz ndizo zinazotamba ukilinganisha na sweet reggae
Tafuta fully collection za city life riddim ,antique riddim -don corleon ,changes riddim ,fairground riddim ,good evil riddim ,2nd changes riddim,O.M.G riddim ,.VA-Smoking _Riddim ,Cardiac bass riddim ,smooth bass riddim nk. hapo utapata tracks kibao za kina bussy signal ,alaine ,cecile ,i octane ,jah cure vybz cartel ,wayne marshell ,morgan heritage ,richie spice ,chris martin ,sean paul nk

Jah Bless i n' i...
 
umetisha mkuu,sluti kwako
 
Mkuu Mwakalinga, kwangu mimi Antique Riddim ya Don Corleon na cool and deadly ambayo Marcia Griffiths ameiimbia "Stay Forever ni favorites zangu.Ila all in all ninafurahi pia kwa hapa bongo kina Steve Rnb wameanza kuimbia riddims japokua naona wamekariri Heart n Soul riddim tu.
 
Salute i rude bwoy !
 
bost & bim soprano riddim....wameitembelea sizzla-just u and i, koxx-serius time..
sunshine riddim-...gyptian-complete me (hii ngoma ni tamu sana hasa kwa dedication)
jah cure-longing for (drop leaf riddim)
.......aisee na iyo ngoma ya busy signal-missing u inabamba sana club!
 
Busy signal-missing my baby
giption-puff puff pass
j cooby ana regge moja tamu sana nimeisahau jina, alafu pia search neno 'heart and soul riddim'

kuhusu kwaito ntarudi tena

Hizi ngoma unatakiwa uzijue kuzicheza........na ikipigwa riddims zake....unamaliza mazungumzo yako yote na "demu"....lol
 
naomba kwa yeyote anayejua majina ya nyimbo za kwaito zinazopigwa sana klabu anipe majina yake pia majina ya nyimbo za sweet reggae za hv karibuni.

1. colombia
2. Ikati
3. Izindunduma
4. Let him Go
5. Kazzet
6. Stimela
7. Sweet Mum
8. Umagubane
9. Any time
10. Ouagadougou

Una lingine?
 
Hizi ngoma unatakiwa uzijue kuzicheza........na ikipigwa riddims zake....unamaliza mazungumzo yako yote na "demu"....lol
ngoma ya j boog inaitwa lets do it again...mara ya kwanza hii ngoma nildhan ya morgan heritage...!kuna ngoma ya alaine-still smiling iko so seductive!..sauti ya alaine huwa inanikosha sana dem gani wa dancehall anavocal tam zaidi yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom