kwaito and Sweeet Reggae music

kwaito and Sweeet Reggae music

Napenda ngoma za sweet regge hakuna mfano- hizi Riddim zimenivutia sana
-Broken Heart Riddim
-Cardiac Base Riddim
-Heart and soul Riddim

Ila kwangu mimi sichoki kuisikiliza Broken Heart maana kuna ngoma kali za I Octane,Da Professor, Tarrus Riley, Vybiz Kartel, Ikaya, Rocky city na Wayne marshall....
 
Wadau kuna yeyote ana kopy ya wimbo wa Lady Jay dee wa teja ile ya live version? Incase you have naomba unisaidie please.
 
kwa wale wa wapenzi wa kwaito kuna hizi nyimbo nzuri kwelikweli,
Thando Wami-marry me
Malaika-Indoda
Lando ft Uhuru-be my baby
Dj Ganyani ft Big Nuz-be there
mafikizolo ft Uhuru-khona
Dj Ganyani ft FB-xigubu
 
Napenda ngoma za sweet regge hakuna mfano- hizi Riddim zimenivutia sana
-Broken Heart Riddim
-Cardiac Base Riddim
-Heart and soul Riddim

Ila kwangu mimi sichoki kuisikiliza Broken Heart maana kuna ngoma kali za I Octane,Da Professor, Tarrus Riley, Vybiz Kartel, Ikaya, Rocky city na Wayne marshall....

Mkuu Jaribu Kutafuta
Brighter Days Riddim
Scriptures Riddim
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom