Kwahiyo mnaona ni sawa above 25 waendelee kukaa majumbani wakila vya bure?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Kwahiyo mnaona ni sawa above 25 waendelee kukaa majumbani wakila vya bure?

Nilileta uzi humu nikisema kwamba mtu wa kuanzia miaka 25 hatakiwi kuwa nyumbani akitegemea wazazi na ndo ukweli huo.

Hapa niliwalenga wale ambao kwao wamekaa tu na hawafanyi shughuli yoyote ile ya kipato, wapo ambao kwa mazingira inawalazimu kubaki makwao lakini wana kazi wanafanya inawaingizia kipato.

Sio unakaa nyumbani unakula bure, unalala bure, huchangii chochote, wazazi wamekuzaa wamekulea kwa shida hadi umekua, badala ya ujishughulishe upate kipato, bado unaendelea kuwatia wazazi mzigo wa kukulea jibaba zima la miaka 25 una ndevu hadi za huko chini, una msitu wa equatorial kabisa you are continue to stay at home without nothing you earn than to exploit your parents.

Upo tu, huna kazi yoyote unalala na kuamka tu, na kula na kugombea juisi kwenye friji, ni aibu, kwa mtoto wa kike ni sawa akibaki nyumbani,lakini dume zima aibu kabisa.

Haijalishi kwenu mmendelea sana, ni wa kishua toka umezaliwa hujui shida lakini ukifikisha 25 years walau uanze kujishughulisha walau upate chochote kitu kwa maisha haya walau ucontribute chochote au uwe unaingiza chochote hata kama kwenu ni mambo safi.

Kuna mwingine alinijibu kuwa labda sio wote wametokea familia za tia maji tia maji, kwahiyo vijana maskini ndo wasikae majumbani akanirefer mimi kuwa huenda nimetokea familia ya shida ndo maana nasema hivyo.

Personally mimi wala sio hivyo,kwanza nijieleze kuwa mimi ni nani kwetu tumezaliwa watatu, wasichana wawili na mvulana mmoja ambaye ndo mimi.

My sister wa kwanza kasoma ana masters yake ana kazi nzuri tu, na kaolewa na mtu ambaye yupo vizuri sana kiujumla wana maisha mazuri sana.

Wa pili ana degree kabahatika kupata kazi kwenye NGO's huko mshahara mnono, ana maisha yake ana mali zake hajaolewa hajazaa ila anamiliki nyumba,biashara na viwanja kadhaa.

Na home sio watu wa njaa wala nini,mimi ndo mtoto pekee wa kurithi mali, mzee na mama wana nyumba tatu, wana biashara ya duka, nyumbani mambo ni swafi, hawana shida, ishu niliamua kutoka home nikajipinde, kitu ambacho kilimuudhi sana mama na baba, na dada zangu, maana huwa wananiambia kwanini ninahangaika wakati mimi ndiyo mtoto pekee wa kiume? Kwanini nasumbuka? Kwanini nisirudi nyumbani kila kitu kipo? Kwanini nisikae tu nyumbani nisubiri ajira au nikae tu na wazazi? kwanini naumiza kichwa wakati nyumbani nyumba zipo za kutosha hakuna waliyobaki nyumbani zaidi ya mzee na maza?

Wananiuliza kwanini niwe na mawazo ya kununua kiwanja changu mwenyewe na kujenga nyumba yangu mwenyewe wakati hayo majumba yote matatu wanayomiliki wazazi mwishowe ni yangu?

Kwanini nisirudi tu nyumbani nioe maisha yaendelee?kwanini najisumbua?

Hayo yote wananiuliza!Lakini mimi nataka nipambane niwe na vya kwangu mwenyewe ambacho nitakua nimekitolea jasho, hivyo vya wazazi nitapewa ndio, lakini lazima na mimi kwenye maisha yangu niseme kwamba pamoja na yote na mimi nilifanya jambo hili na lile.

Haiwezekani una miaka 25 hadi 40 umekaa tu kwenu huna hata godoro, huchangii chochote upo tu unalala na kuamka unawatia wazazi wake gharama za kulitunza dume zima! Wazazi wako wamekulea tokea utotoni huko bado tena sahiv badala ya kuwaacha wapumzike kidogo we bado unawabebesha mizigo ya kukulea wewe dume zima!

Kuna mmoja kasema kwamba eti si wanilizaa wao?Haya ni mawazo ya kijinga sana, uendelee kuwaza hivyo hivyo kama hitazeekea kwenu nala maana hujafanya, hebu jishughulishe huko mwanaume nzima dume zima ni wa kumsumbua bi mkubwa wako kuomba hadi bando? Ni aibu ya mwaka.

Tatzo hampendi kuambiwa ukweli na ukweli ndo huo una miaka 25 na kuendelea hadi 40 umekaa kwenu unakula bure, kulala bure na huna mishe ya maana wewe ni mzigo kwa wazazi na hustahili kabisa wewe ni mnyonyaji, mvivu, na mtu usiyefaa wala kustahili kabisa.
 
Unakuwa huna tofouti na mifugo ya hapo home kwenu.
 
We kweli choko si bure
 
Ondoa ujinga wako hapa JF
Mtu mpumbavu ni yule anayetaka watu waishi kama yeye

Mimi nakushangaa bado unaishi sehemu moja, Tunaozunguka Tanzania hii ndio tunafahamu kila mtu na maisha yake na Furaha zake

Usilazimishe Wamasai wakaishi Iringa kisa kuna mahindi

Usilazimishe wachaga wakaishi Kilimanjaro wakati wao wanafanya biashara

Wahindi wanaishi Baba, Mama, Shangazi na wakwe nyumba moja kule Posta na Upanga na ndio matajiri wetu Tanzania

Viwanda karibu vyote ni vya wahindi

Ulishaona wahindi wanafukuza ndugu zao

Huna exposure ya maisha, Wewe maisha unajua ni kwenda kukaa mbali na wazazi, Wanaopenda wazazi na kuwathamini wanawaita wawasaidie kucheza na wajukuu

Wewe umewakimbia wazazi wako kisa maskini huna lolote

Wewe ni maskini wa hovyo kabisa ndio maana unawakwepa wazazi wako, Kaa na wazazi wako
 
Jmn dogo embu tumpuzishe Kwanza wee endele na maishaa yako

acha kbsa mm namshukuru sna mungu kunipa wazazi Kama Hawa nilionao na kak na dad zangu nilionao hakika namshukuru sna mungu kwa familia hi siyo rais uipate familia ya Naman hi tz
 
Back
Top Bottom