We hujui wamebeba pesa na mali kibao pale sasa hawawez rudisha na ni aibu kwa jenzi sasa kujibaraguza ndio wanajifanya hivyo,pesa ndefu sana imepotea kwa gwajima pale na acc za benk zimechotwa pesa za kutosha ndio mana wakaona wamuache tu aamze upya.Unadhani unajenga kumbe unaharibu. Dr. Mwigulu jitafakari kabla ya kuja mbele ya kamera kwenye majira haya ya tense and fragile moments.
Mtu akishafikishwa mahakamani, mchakato wa kumuachia ni tofauti na ule wa mtu ambaye hajafikishwa mahakamani. Public speech ya PM inatosha kumaliza suala la mtu ambaye hajafikishwa mahakamani.Unadhani unajenga kumbe unaharibu. Dr. Mwigulu jitafakari kabla ya kuja mbele ya kamera kwenye majira haya ya tense and fragile moments.
Hujui lolote.Mtu akishafikishwa mahakamani, mchakato wa kumuachia ni tofauti na ule wa mtu ambaye hajafikishwa mahakamani. Public speech ya PM inatosha kumaliza suala la mtu ambaye hajafikishwa mahakamani.
Inawezekana, behind the scene, Serikali inaangalia namna ya kuziondoa mahakamani hizo kesi za kubumba za kina Lissu na wengine. Naamini wako busy wanatafuta a less embarrassing exit!
Hili jibu lako hata Samia The Killer, the idiot of idiots, anaweza kulitoa!Hujui lolote.
Wakina Nifa walifikishwa mahakamani au la , kama ndivyo ,bado unaona andiko lako lipo na hoja.Mtu akishafikishwa mahakamani, mchakato wa kumuachia ni tofauti na ule wa mtu ambaye hajafikishwa mahakamani. Public speech ya PM inatosha kumaliza suala la mtu ambaye hajafikishwa mahakamani.
Inawezekana, behind the scene, Serikali inaangalia namna ya kuziondoa mahakamani hizo kesi za kubumba za kina Lissu na wengine. Naamini wako busy wanatafuta a less embarrassing exit!
Nifa na wenzake walipelekwa mbele ya Pilato!Wakina Nifa walifikishwa mahakamani au la , kama ndivyo ,bado unaona andiko lako lipo na hoja.
Lissu anatakiwa kuachiwa mara moja na sio ombi ,hana kosa bali roho mbaya za kishetani