mmmmh mmmh mbona kawaida hiyo...kuna vitoto vingi san hasa vya kizungu vipo hivyo...embu fanya research kabla ya kufika mbali ingia u tube utawaona kibaoHata nami nilikubaliana naye. Badala ya kufurahi na kujitangaza ni bora waende kufanyiwa naombi. Kama nguvu ni za giza basi itajidhihurisha na kama nguvu za Roho Mtakatifu itajulikana pia. Shetani hakupi bila kuchukua kikubwa zaidi maana kazi yake ni ku kill, steal and destroy. Lkn kama ni kutoka kwa Mungu basi itakuwa ni kwa nanufaa yake, familia, nchi na dunia nzima kwa sifa na utukufu wa Mungu.