Mungu anaweza kumpa ujuzi au elimu kiumbe yeyote amtakaye,na ndiyo maana mie toka mwanzo sikukubaliana na
faiza foxy kusema kuwa huyo mtoto anaweza akawa ana jini ndiyo lenye kufanya hivyo. Japo najua uwezekano huo upo lakini hatuwezi kusema hivyo kwa haraka kwa sababu anaweza akawa hana tatizo la kijini na ikawa ni miujiza yake Mungu. Mfano huyo Sheikh Sharif,zidhani kama
faiza foxy atakubali kuwa Sheikh sharif naye alikuwa na tatizo la kijini kama asemavyo kwa huyo mtoto.Wapo wataalamu wa mambo ya kijini wanaweza kujua kama huyo mtoto ana tatizo la kijini au sivyo hivyo.
Ni maoni yangu tu.