Kwaherini

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
Nawaaga jamani nashukuruni kwa kunipokea vizuri ila sina budi kuwaaga am leaving for guud byyyyyyyyyyyyye jf
 
kulikoni tena!sisi humu tunajua kupokea tu.
 
Ciao, cc 2po 2 2naendelea kudadavua 2 mambo hapahapa jamvini!
 
nilikuwa nasubiri ukikosa mtu nije kukusitiri
sasa waondoka mapema hivyo,why???????
 
nilikuwa nasubiri ukikosa mtu nije kukusitiri
sasa waondoka mapema hivyo,why???????
eti huku jf wanataka nikiwa rafiki yao tungonoke naahamia kanisani hope nitapata marafiki wa kweli
 
basi kuwa rafiki yangu,no ngono kabisa..
Usiondoke,sawa?
so tutakuwa wkend tunaenda mlimani city kucheki movie na kula ice cream
na kuogelea na mambo yote niliyotaja sio?
 
so tutakuwa wkend tunaenda mlimani city kucheki movie na kula ice cream
na kuogelea na mambo yote niliyotaja sio?

anything u like...
but nikiwa nina time fir that....
u r welcome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…