Kwaherini wana jf wote japo roho inauma.

tulikupenda lakini mungu amekupenda zaidi rest with peace,tafadhali tupatieni acc zenu za feis buku tuwatafute pande hizo
Mimi nimeamua kung'atuka jf kutokana na kukosa amani baada ya kusikia charminglady anaondoka. Imeniuma sana, nmesikitika sana na nmeshamtua PM invisible ya kumuomba kujiuzulu humu jf.
Kwaherini marafiki zangu wote wapendwa.
Naomba wale nilio wakosea wanisamehe bure.
kuanzia kesho hamtaniona tena.
Watakao penda tukumbukane kwa email. figganigga@jamiiforums.com.
Mimi na charminglady tunaenda kuanzisha socialnetwork yetu. itakapo kuwa tayari mtajulishwa. kwaherini nyote. Mia
 
8841.gif
 
Back
Top Bottom