Kwaherini wana jf wote japo roho inauma.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Mimi nimeamua kung'atuka jf kutokana na kukosa amani baada ya kusikia charminglady anaondoka. Imeniuma sana, nmesikitika sana na nmeshamtua PM invisible ya kumuomba kujiuzulu humu jf.
Kwaherini marafiki zangu wote wapendwa.
Naomba wale nilio wakosea wanisamehe bure.
kuanzia kesho hamtaniona tena.
Watakao penda tukumbukane kwa email. figganigga@jamiiforums.com.
Mimi na charminglady tunaenda kuanzisha socialnetwork yetu. itakapo kuwa tayari mtajulishwa. kwaherini nyote. Mia
 
Last edited by a moderator:
nenda mwanakwenda alaaa mmefanya mchezo sasa si ndio kama hadi my best n shost kaondoka itakua wewe bana tokaaaaaa tokomea huko taka kuniudh tuuu
 
nenda mwanakwenda alaaa mmefanya mchezo sasa si ndio kama hadi my best n shost kaondoka itakua wewe bana tokaaaaaa tokomea huko taka kuniudh tuuu

samahani kama nmdkuudhi lakini yakupasa ukubali ukweli. bye best yangu nakutakia maisha mema. mia
 
Back
Top Bottom