Watz sijui nani aliwaroga. Yani asilimia kubwa ya wanaotumia DSTV hujiona wenye hela na wajanja. Yani huhisi wapo ulaya
.
Umenunua DTSV kwa 99,000 na unalipia kifurushi cha 19,000 huzidi hapo ilhali mwingine kanunua Azam 150,000 na analipia Sh. 18,000 unajiona mwenye hela na uliyeendelea.
Huwa nawafananisha na wale wanaosema hawapendi movie zilizotafsiriwa alafu unawakuta wanaangalia movies za Jet Lee wakihisi anaongea kiingereza kumbe zimetafsiriwa pia kutoka kichina kuja kiingereza. Simply unagundua anajikweza tu kuwa anajua kiingereza