Kwaherini ndugu zangu wa JF

Kwaherini ndugu zangu wa JF

Wamekupa kitanda Mirembe ?
Ugua pole...
Hongera kwa kuisikia Injili niliyokuletea. Ila pole sana kama utaendelea kushupaza shingo
Mit 29:1-14
Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
 
Hongera kwa kuisikia Injili niliyokuletea. Ila pole sana kama utaendelea kushupaza shingo
Mit 29:1-14
Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
Shetani amekushinda kama ni kweli yuko maana siamini huu upupu
ukipona rudi na ID nyingine ya kutukanana na wakulungugwa humu....
 
Nina Swali
Ila sielewi nini kinaendelea
Kwa nini Baada ya Shule kufunguliwa
A n O level nk
Ndio mida ya kusepa?🤔
 
Ni kweli jf haiwafikii watu wote duniani ila unaweza kuwafikia watu wote ulimwenguni huku ukiendelea na injili hapa Jf.
Sio rahisi sana. Jambo la kumshukuru Mungu ni kwamba wamesikia. Hivyo hawatakuwa na la kujitetea siku ya hukumu
“Kwa kuwa sikujiepusha kuwatangazia shauri lote la Mungu.” (Matendo 20:27)
 
Kwaherini, ndugu zangu wapendwa wa JamiiForums

Kwa takriban miezi saba, nimefanya bidii kuwaletea habari njema za uzima wa milele. Habari hizi, zimekuwa chemchemi ya furaha kwa baadhi ya watu; lakini kwa wengine, zimeonekana ni kero. Kwa wale mliosononeka au kukasirishwa na nyuzi zangu, nawasikitikia, si kwa hasira, bali kwa majonzi, maana siku ya mwisho hamtakuwa na la kujitetea, kwa kuwa mlisikia kweli ya Yesu mkaipuuza.

Dunia ni pana mno, na maelfu ya watu katika maeneo mengine ya mbali wana kiu ya kusikia Injili hii hii ambayo wengine mmeidharau. Ninawajibika kuwaendea watu hao pia, ili nao wasikie na kupata nafasi ya kuokoka.

Kwa sababu hiyo, leo naacha kwa muda kuandika nyuzi hapa JF. Mungu akinijalia, nitarudi tena baadaye, nikiwa na ujumbe wenye nuru zaidi.

Baraka za Mwenyezi Mungu ziwafunike ninyi nyote sasa na siku zote. Ila nawasihi: mliosoma nyuzi zangu, msiwe wasomaji tu, bali watendaji wa Neno mlilolipokea. Katika Jina la Yesu, Amen.
====================

Farewell, my beloved brethren of JF.

For approximately seven months, I have endeavored to share with you the glorious tidings of eternal life. To some, these words have been a wellspring of joy; to others, a provocation of displeasure. To those who have taken offense, I express sincere regret, not in anger, but in sorrow, for in the final reckoning, you shall stand without excuse, having heard the truth of Jesus and yet willfully disregarded it.

The world is vast, and multitudes in distant lands thirst for the very gospel some here have scorned. I am thus constrained by divine obligation to extend my labors beyond this enclave, that others too may hear and live.

Consequently, I hereby place a pause upon my contributions to JF. Should the Lord grant me further grace, I shall return, God willing, with messages even more fervent and luminous, for I am far from exhausted in the riches of what I have to declare.

May the blessing of the Almighty overshadow each of you, now and always. And may you not be hearers only, but doers of the Word which you have received. In Jesus' Name, Amen.
================

Adieu, mes bien-aimés frères et sœurs de JF

Pendant environ sept mois, je me suis efforcé de vous partager les glorieuses nouvelles de la vie éternelle. Pour certains, ces paroles ont été une source de joie profonde ; pour d'autres, elles ont suscité de l’irritation. À ceux qui se sont offensés, je n’éprouve ni colère ni ressentiment, mais une véritable tristesse, car, au jour du jugement, vous serez sans excuse, ayant entendu la vérité concernant Jésus, mais l’ayant rejetée délibérément.

Le monde est vaste, et d’innombrables âmes dans d’autres régions de la terre ont soif d’entendre l’Évangile que certains ici ont méprisé. Je suis donc poussé par un devoir divin à poursuivre cette mission ailleurs, afin que d’autres aient aussi l’opportunité d’entendre et de recevoir la vie.

C’est pourquoi je suspends, pour un temps, mes publications sur JF. Si le Seigneur me fait grâce, je reviendrai, Dieu voulant, avec des messages encore plus ardents et lumineux, car les trésors que je porte dans le cœur sont loin d’être épuisés.

Que la bénédiction du Tout-Puissant repose sur chacun de vous, maintenant et à jamais. Et je vous exhorte à ne pas être seulement des auditeurs, mais des acteurs de la Parole que vous avez reçue. Au nom de Jésus, amen.
Mumeo netanyahu amekutumia nauli ya kwenda Israel bila shaka
 
Mumeo netanyahu amekutumia nauli ya kwenda Israel bila shaka
Usiache kufuatilia habari zake maana bado wanaendelea na maandalizi ya kumpokea Masihi
 
Haya jamani, I’m signing off — stay blessed, bye bye!
 
Ukimpigia simu Yesu utapata mahitaji yako yote
Yer 33:3
Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
tutajie namba yake ya voda tumpigie kiazi wewe. kaliwe huko umepata bwana unajidai kuaga hapa shenzi wewe
 
Back
Top Bottom