Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,236
Utawajua tu kwa maneno yao.watumiaji wakubwa wa hotchair na ulanzi........Halina Mjadala hili hommie....Mkoloni atalijua hili nini tofauti ya "mtumishi" na "mfanyakazi!!:violin:......mi nakuuupa mkono wa Idd.....nakupaaa mkono wa Idd...
Popote pale ntakapoamkia (Kuonekana kwa mwezi kuna uhusiano wa karibu na matumizi ya alkoholi kwa wingi):welcome::welcome:
Naomba uwe na imani na mimi kuwa leo NI LAZIMA MWEZI NIUONE. Kwa mantiki hiyo basi, mheshimiwa mwalimu nakutangazia rasmi kuwa Nimeshauona mwezi!Basi ukisha kuuona na sie si utuletee taarifa au? au tujue tu kuwa wewe tayari umeshauona? :d
Kwa nini unang'ang'ania kuwa ni lazima uuone mwezi,magreti sinka unatuopa tafsiri tofauti,isije kuwa mwezi mwingine ule wa ki-balojia.maajabu mengine ya duniaNaomba uwe na imani na mimi kuwa leo NI LAZIMA MWEZI NIUONE. Kwa mantiki hiyo basi, mheshimiwa mwalimu nakutangazia rasmi kuwa Nimeshauona mwezi!
"Beer is proof that God loves us and wants us to be happy.":welcome:Utawajua tu kwa maneno yao.watumiaji wakubwa wa hotchair na ulanzi........
Naomba uwe na imani na mimi kuwa leo NI LAZIMA MWEZI NIUONE. Kwa mantiki hiyo basi, mheshimiwa mwalimu nakutangazia rasmi kuwa Nimeshauona mwezi!
Hata wewe? haya maandiko umeyatoa wapi?ushakuwa mfuasi wa "nabii" TITO
Nani kakulazimisha usome maelezo marefu? si uyapotezee tu na kwenda kwenye 'vitu mihimu"kwako?Na wewe maelezo marefu point moja tu, mengine hayatuhusu. Tuna vitu vingi vya kupitia kwenye jamii forum.
We sijui nikujibuje? Wapi hommie Kimey, hebu kuja jibu hii muchumba yangu hapa!Utawajua tu kwa maneno yao.watumiaji wakubwa wa hotchair na ulanzi........
Senkyu hommie!
Kwa nini unang'ang'ania kuwa ni lazima uuone mwezi,magreti sinka unatuopa tafsiri tofauti,isije kuwa mwezi mwingine ule wa ki-balojia.maajabu mengine ya dunia
"Alcohol may be man's worst enemy, but the bible says love your enemy.":welcome:Hata wewe? haya maandiko umeyatoa wapi?ushakuwa mfuasi wa "nabii" TITO
Hommie kanigongee pale niweke kumbukumbu hi maneno haitoshi!!:becky:Senkyu hommie!
!
Hahahahahahaaaa.kwani alkohol ni nafsi au roho? na alkohol is not our enemy bwana.Na kwa taarifa adui yako ni wewe mwenyewe
Ameen!
Nawe BWANA YESU akutangulie na safari yako!
Mikitaboloki, Engai Engoitoi-Ashee Oleng!