Kwaherini CCM,karibuni UKAWA

Kwaherini CCM,karibuni UKAWA

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Ni mwanangu tena. Ni yule yule wa Chuo Kikuu. Bado ananitambia bila hata kuniambia hadi natamani kumkimbia. Maneno hayo: kwaherini CCM,karibuni UKAWA ameyaandika na kuyatandika karibu kila kona ya nyumba yangu. Ameyaandika kwa kila aina ya mbwembwe bila kutumia wembe. Hata kwenye 'signecha' ya kwenye ujumbe wake mfupi wa maneno ameyaandika. Najua ananichokoza.

Nilishafanya naye midahalo mitatu nyumbani na akanitoa kapa. Yeye anaponda,mimi napenda. Yeye anaikandia CCM na kuidandia UKAWA. Mimi naitetea CCM na kuipuuzia UKAWA. Mchuano mkali nyumbani kwangu. Tena, anatamba kuwa hana haja ya kusafirishwa kwenye basi wala lori kwenda kupiga kura. Anapigia mita chache tu kutoka nyumbani. Ni mtukutu sana.

Amevuka mipaka kiuhakika. Amewashawishi rafikize waje wafikie nyumbani ili wapige kura zao hapa Dar es Salaam. Na wengine, akishirikiana na wenzake, wamewachangia nauli na kuwaandalia malazi mahali ili waje wapige kura. Anaapa kuhakikisha kuwa anawaleta Dar es Salaam wapiga kura wasiopungua hamsini. Ili mradi tu awaongezee kura UKAWA. Najuta kuwa mwanademokrasia bila ghasia.

Amenidokeza kuwa zaidi ya asilimia 80 wanachuo kikuu watapiga kura zao walipoandikishwa. Anatambia mipango ya viwango iliyopangwa. Ameniahidi kuniambia Jumamosi ya tarehe 24/10/2015. Amepania kwelikweli. Haishi kuimba na kuandika: KWAHERINI CCM, KARIBUNI UKAWA. Bado sijajua anaaga na kukaribisha wapi hasa.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Mzee tupatupa tatizo CCM mumeshupaza shingo sana kwa maana hiyo hamjitambui ukweli ni kwamba kwa herini
 
Hakika mwanao kaamua, na huwezi kumzuia kwani kipendacho roho ni Dawa. Hili la wanafunzi kurudi walikojiandikishia hata mimi nimeliona, wengi tayari wamesharudi kwenye maeneo/vituo walivyojiandikishia. Jana nimekutana nao kwa maelfu wakihakiki majina yao, huku wakijinadi hawawezi kuacha haki yao ipotee, na hawawezi kukosa kuwa sehemu ya historia ya mabadiliko. Na wengi wanasema kazi ni ni moja tu, kungo'oa matawi ya kijani yasionekane tena asilani.

Safari hii turufu ya kijani kufunga vyuo kwa lengo la kupunguza kura limegonga mwamba. Kijani wako taabani.
 
Baada ya kutafuna rasilimali za watanzania kwa ufisadi uliotukuka chini ya mbawa za Rais kikwete na familia yake, Ghalib S Mohamed Mwenyekiti wa kampuni ya Alosco inayomiliki makampuni mengine zaidi ya kumi ikiwemo Supermarket za Home Shopping Centre, sasa ndio ataongoza kamati ya ufundi ya wizi wa kura kuanzia tar 24 oktoba.

Ghalib akiwa pamoja na Faroukh Bagonza wa kampuni za mafuta ya TSN na Supermarket za TSN wame ratibu wizi wa kura kwa kuagiza masanduku yaliyo jaa makaratasi ya kupigia kura kutoka Msumbiji na vifaa vingine haramu vya kupigia kura ambavyo vimehifadhiwa kwenye Godauni (maghala) ya Faroukh Mtaa wa Gerezani, Mnazi moja.

Ghalib na Faroukh wakishirikiana na jangili mwenzao Abdulrahman Kinana wiki iliyopita wamenunua magari manne kutoka kampuni ya Toyota Tanzania Ltd iliyopo barabara ya Pugu. Magari hayo yatatumika kusafirisha makaratasi ya kura batili na kutumika kama magari feki ya wasimamizi wa kimataifa wa SADC. Mpango ni kupeleka gari mbili Zanzibar na mbili zitakuwa Tanzania Bara. Gari hizo aina ya Toyota Landcruiser Hardtop (2) zenye namba za usajili T 471 DFC na T 469 DFC zenye chasis namba TEEB71 – 90 - 7026583 na TEEB71 – 00 – 7026617. Pia wamenunua Toyota Hilux Double Cabin (2) zenye namba za usajili T 468 DFC na T 470 DFC zenye chasis namba AHTFR22G10 – 6105538 na AHTDR22G00 – 6105546.

Ghalib S Mohamed, fisadi na jangili ambae tangu rais Jakaya Kikwete aliposhika hatamu mwaka 2005, alipewa fursa za kufanya biashara bila kulipia ushuru bidhaa alizokuwa akiingiza nchini kwa ubia na familia ya Rais Jakaya Kikwete. Leo hii kupitia mianya hii ya kifisadi na unyonyaji wa jasho la watanzania, Ghalib ni moja kati ya matajiri wa kubwa Tanzania anae miliki Mali nyingi za kifahari, Majengo, Magari na biashara nyingi za nyuma ya pazia.

Ghalib ana miliki jumba lenye gharama ya bilioni 13 za kitanzania iliyo jengwa kwenye eneo la heka 11 huko Kinyerezi. Eneo hilo ambalo lilimefanya familia zaidi 33 kuhamishwa bila kibali maalum kwa ajili ya ujenzi wa jumba moja la mtu mmoja.

Ghalib huyu huyu ana miliki nyumba 4 Masaki na sasa ana malizia jumba lingine la kifahari mtaa wa Lincoln Masaki ambalo lina jengwa na wakandarasi kutoka china.

Ghalib ana miliki magari tofauti ya kifahari ikiwemo Rolls Royce, Bentley, Ferrari magari kadhaa aina ya Range Rover yenye thamani zaidi ya billioni 3 za kitanzania.

Kazi kubwa ya kifisadi ni ile ya usafirishaji bidhaa bila kulipa ushuru kupitia kampuni yake ya usafirishaji ya Silent Ocean inayosimamiwa na mdogo wake anaye itwa Salaah ambayo makao makuu yake yapo China. Salaah ambae kwa sasa amefanywa balozi mdogo wa Tanzania nchini China bila kuzingatia hiztoria yake ya uhalifu wa kutumia silaha na kutishia kuuwa watu kwenye kumbi tofauti za starehe, zaidi ya hapo salaah hana elimu wala historia ya kidiplomasia lakini uswahiba wa familia yao na JK umempa nafasi hii kubwa kabisa katika Taifa letu.

Leo hii Ghalib ndio nguzo kuu ya ufadhili wa CCM na familia za viongozi wa CCM. Kwa Lugha nyepesi, ghalib ndio anafanya mipango yote na mikakati ya CCM na Serikali iliyopo madarakani. Mkakati mkubwa alionao sasa ni huu wa kuartibu wizi wa kura ambao Ghalib na maswahiba wake wamemwaga pesa nyingi sana ili kufanikisha wizi mkubwa wa kura katika historia ya Taif hili wakijua dhahiri Magufuli hana asilimia 30 ya kura za Watanzania.
 
hahaha!! mkuu kwa jinsi ulivyochafua jukwaa na huu uzi wako jiandae kupigwa ban maana ukifutwa huku unakutwa kule.

Najaribu kufikisha ujumbe...unafutwa sana sijui kwanini
 
Ndio maana CCM wanataka watawale maisha maskini mtu wa kawaida akimuona diamond na shs 5000 anafurahi sana hajui hiyo ni tiketi tosha ya kunyonywa miaka mitano.
 
Pole sana.

Huyo mwanao tabia zake zinafanana na wa kwangu. Yaani bila kumvumilia ningekuwa nimeshamfukuza nyumbani. Mie kanishinikiza akishirikiana na mama yake tumchangie hela ili marafiki zake 10 wapate nauli ya kuja hapa dar es salaam. Eti mama yake naye kajitolea kuwapikia wapiga kura wa mwanae na kuwapa hifadhi ya malazi. Zote hizo wananiongezea bajeti.

Nimekubali kufanya hivo sababu ya shinikizo na hasa la mke wangu. naomba tu wapige kura yao waondoke waende makwao kabla matokeo hayajatangazwa. Maana nahisi wanaweza kunisababishia shinikizo la damu.

Ni mwanangu tena. Ni yule yule wa Chuo Kikuu. Bado ananitambia bila hata kuniambia hadi natamani kumkimbia. Maneno hayo: kwaherini CCM,karibuni UKAWA ameyaandika na kuyatandika karibu kila kona ya nyumba yangu. Ameyaandika kwa kila aina ya mbwembwe bila kutumia wembe. Hata kwenye 'signecha' ya kwenye ujumbe wake mfupi wa maneno ameyaandika. Najua ananichokoza.

Nilishafanya naye midahalo mitatu nyumbani na akanitoa kapa. Yeye anaponda,mimi napenda. Yeye anaikandia CCM na kuidandia UKAWA. Mimi naitetea CCM na kuipuuzia UKAWA. Mchuano mkali nyumbani kwangu. Tena, anatamba kuwa hana haja ya kusafirishwa kwenye basi wala lori kwenda kupiga kura. Anapigia mita chache tu kutoka nyumbani. Ni mtukutu sana.

Amevuka mipaka kiuhakika. Amewashawishi rafikize waje wafikie nyumbani ili wapige kura zao hapa Dar es Salaam. Na wengine, akishirikiana na wenzake, wamewachangia nauli na kuwaandalia malazi mahali ili waje wapige kura. Anaapa kuhakikisha kuwa anawaleta Dar es Salaam wapiga kura wasiopungua hamsini. Ili mradi tu awaongezee kura UKAWA. Najuta kuwa mwanademokrasia bila ghasia.

Amenidokeza kuwa zaidi ya asilimia 80 wanachuo kikuu watapiga kura zao walipoandikishwa. Anatambia mipango ya viwango iliyopangwa. Ameniahidi kuniambia Jumamosi ya tarehe 24/10/2015. Amepania kwelikweli. Haishi kuimba na kuandika: KWAHERINI CCM, KARIBUNI UKAWA. Bado sijajua anaaga na kukaribisha wapi hasa.

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Baada ya kutafuna rasilimali za watanzania kwa ufisadi uliotukuka chini ya mbawa za Rais kikwete na familia yake, Ghalib S Mohamed Mwenyekiti wa kampuni ya Alosco inayomiliki makampuni mengine zaidi ya kumi ikiwemo Supermarket za Home Shopping Centre, sasa ndio ataongoza kamati ya ufundi ya wizi wa kura kuanzia tar 24 oktoba.

Ghalib akiwa pamoja na Faroukh Bagonza wa kampuni za mafuta ya TSN na Supermarket za TSN wame ratibu wizi wa kura kwa kuagiza masanduku yaliyo jaa makaratasi ya kupigia kura kutoka Msumbiji na vifaa vingine haramu vya kupigia kura ambavyo vimehifadhiwa kwenye Godauni (maghala) ya Faroukh Mtaa wa Gerezani, Mnazi moja.

Ghalib na Faroukh wakishirikiana na jangili mwenzao Abdulrahman Kinana wiki iliyopita wamenunua magari manne kutoka kampuni ya Toyota Tanzania Ltd iliyopo barabara ya Pugu. Magari hayo yatatumika kusafirisha makaratasi ya kura batili na kutumika kama magari feki ya wasimamizi wa kimataifa wa SADC. Mpango ni kupeleka gari mbili Zanzibar na mbili zitakuwa Tanzania Bara. Gari hizo aina ya Toyota Landcruiser Hardtop (2) zenye namba za usajili T 471 DFC na T 469 DFC zenye chasis namba TEEB71 – 90 - 7026583 na TEEB71 – 00 – 7026617. Pia wamenunua Toyota Hilux Double Cabin (2) zenye namba za usajili T 468 DFC na T 470 DFC zenye chasis namba AHTFR22G10 – 6105538 na AHTDR22G00 – 6105546.

Ghalib S Mohamed, fisadi na jangili ambae tangu rais Jakaya Kikwete aliposhika hatamu mwaka 2005, alipewa fursa za kufanya biashara bila kulipia ushuru bidhaa alizokuwa akiingiza nchini kwa ubia na familia ya Rais Jakaya Kikwete. Leo hii kupitia mianya hii ya kifisadi na unyonyaji wa jasho la watanzania, Ghalib ni moja kati ya matajiri wa kubwa Tanzania anae miliki Mali nyingi za kifahari, Majengo, Magari na biashara nyingi za nyuma ya pazia.

Ghalib ana miliki jumba lenye gharama ya bilioni 13 za kitanzania iliyo jengwa kwenye eneo la heka 11 huko Kinyerezi. Eneo hilo ambalo lilimefanya familia zaidi 33 kuhamishwa bila kibali maalum kwa ajili ya ujenzi wa jumba moja la mtu mmoja.

Ghalib huyu huyu ana miliki nyumba 4 Masaki na sasa ana malizia jumba lingine la kifahari mtaa wa Lincoln Masaki ambalo lina jengwa na wakandarasi kutoka china.

Ghalib ana miliki magari tofauti ya kifahari ikiwemo Rolls Royce, Bentley, Ferrari magari kadhaa aina ya Range Rover yenye thamani zaidi ya billioni 3 za kitanzania.

Kazi kubwa ya kifisadi ni ile ya usafirishaji bidhaa bila kulipa ushuru kupitia kampuni yake ya usafirishaji ya Silent Ocean inayosimamiwa na mdogo wake anaye itwa Salaah ambayo makao makuu yake yapo China. Salaah ambae kwa sasa amefanywa balozi mdogo wa Tanzania nchini China bila kuzingatia hiztoria yake ya uhalifu wa kutumia silaha na kutishia kuuwa watu kwenye kumbi tofauti za starehe, zaidi ya hapo salaah hana elimu wala historia ya kidiplomasia lakini uswahiba wa familia yao na JK umempa nafasi hii kubwa kabisa katika Taifa letu.

Leo hii Ghalib ndio nguzo kuu ya ufadhili wa CCM na familia za viongozi wa CCM. Kwa Lugha nyepesi, ghalib ndio anafanya mipango yote na mikakati ya CCM na Serikali iliyopo madarakani. Mkakati mkubwa alionao sasa ni huu wa kuartibu wizi wa kura ambao Ghalib na maswahiba wake wamemwaga pesa nyingi sana ili kufanikisha wizi mkubwa wa kura katika historia ya Taif hili wakijua dhahiri Magufuli hana asilimia 30 ya kura za Watanzania.

Hii nchi inachosha sana kwa kweli. Sasa mambo kama haya si n kuumizana vichwa tu. Michezo ya mwaka 2005 na 2010 ndio inaendelea mpaka sasa. Watanzania ni lazima tubadilishe hii mifumo ya hawa watu.
 
They will stop at nothing trying to retain power. But indeed they are going to lose this time.
 
Kwaherin kwaherini kwaherini CCM temeke kwaheriiinii aaaghhaaaaahh, hahahaahahaaaaaaaaa Rest in Peace and Piece
 
asipoangalia anaweza kukosa magari yake hatutajari yanapewa escort na nani ili mradi haki itendeke lazima tuyafuatilie kila hatua
 
Najaribu kufikisha ujumbe...unafutwa sana sijui kwanini

Hujajuwa jukwaa linaendeshwa na marafiki wa CCM na serikati JF is no longer were we dear to talk openly post zinafutwa thread zinafutwa uzuri mtu akiposti nyuzi zinakopiwa na kusambazwa kwenye media zingine
 
Baada ya kutafuna rasilimali za watanzania kwa ufisadi uliotukuka chini ya mbawa za Rais kikwete na familia yake, Ghalib S Mohamed Mwenyekiti wa kampuni ya Alosco inayomiliki makampuni mengine zaidi ya kumi ikiwemo Supermarket za Home Shopping Centre, sasa ndio ataongoza kamati ya ufundi ya wizi wa kura kuanzia tar 24 oktoba.

Ghalib akiwa pamoja na Faroukh Bagonza wa kampuni za mafuta ya TSN na Supermarket za TSN wame ratibu wizi wa kura kwa kuagiza masanduku yaliyo jaa makaratasi ya kupigia kura kutoka Msumbiji na vifaa vingine haramu vya kupigia kura ambavyo vimehifadhiwa kwenye Godauni (maghala) ya Faroukh Mtaa wa Gerezani, Mnazi moja.

Ghalib na Faroukh wakishirikiana na jangili mwenzao Abdulrahman Kinana wiki iliyopita wamenunua magari manne kutoka kampuni ya Toyota Tanzania Ltd iliyopo barabara ya Pugu. Magari hayo yatatumika kusafirisha makaratasi ya kura batili na kutumika kama magari feki ya wasimamizi wa kimataifa wa SADC. Mpango ni kupeleka gari mbili Zanzibar na mbili zitakuwa Tanzania Bara. Gari hizo aina ya Toyota Landcruiser Hardtop (2) zenye namba za usajili T 471 DFC na T 469 DFC zenye chasis namba TEEB71 – 90 - 7026583 na TEEB71 – 00 – 7026617. Pia wamenunua Toyota Hilux Double Cabin (2) zenye namba za usajili T 468 DFC na T 470 DFC zenye chasis namba AHTFR22G10 – 6105538 na AHTDR22G00 – 6105546.

Ghalib S Mohamed, fisadi na jangili ambae tangu rais Jakaya Kikwete aliposhika hatamu mwaka 2005, alipewa fursa za kufanya biashara bila kulipia ushuru bidhaa alizokuwa akiingiza nchini kwa ubia na familia ya Rais Jakaya Kikwete. Leo hii kupitia mianya hii ya kifisadi na unyonyaji wa jasho la watanzania, Ghalib ni moja kati ya matajiri wa kubwa Tanzania anae miliki Mali nyingi za kifahari, Majengo, Magari na biashara nyingi za nyuma ya pazia.

Ghalib ana miliki jumba lenye gharama ya bilioni 13 za kitanzania iliyo jengwa kwenye eneo la heka 11 huko Kinyerezi. Eneo hilo ambalo lilimefanya familia zaidi 33 kuhamishwa bila kibali maalum kwa ajili ya ujenzi wa jumba moja la mtu mmoja.

Ghalib huyu huyu ana miliki nyumba 4 Masaki na sasa ana malizia jumba lingine la kifahari mtaa wa Lincoln Masaki ambalo lina jengwa na wakandarasi kutoka china.

Ghalib ana miliki magari tofauti ya kifahari ikiwemo Rolls Royce, Bentley, Ferrari magari kadhaa aina ya Range Rover yenye thamani zaidi ya billioni 3 za kitanzania.

Kazi kubwa ya kifisadi ni ile ya usafirishaji bidhaa bila kulipa ushuru kupitia kampuni yake ya usafirishaji ya Silent Ocean inayosimamiwa na mdogo wake anaye itwa Salaah ambayo makao makuu yake yapo China. Salaah ambae kwa sasa amefanywa balozi mdogo wa Tanzania nchini China bila kuzingatia hiztoria yake ya uhalifu wa kutumia silaha na kutishia kuuwa watu kwenye kumbi tofauti za starehe, zaidi ya hapo salaah hana elimu wala historia ya kidiplomasia lakini uswahiba wa familia yao na JK umempa nafasi hii kubwa kabisa katika Taifa letu.

Leo hii Ghalib ndio nguzo kuu ya ufadhili wa CCM na familia za viongozi wa CCM. Kwa Lugha nyepesi, ghalib ndio anafanya mipango yote na mikakati ya CCM na Serikali iliyopo madarakani. Mkakati mkubwa alionao sasa ni huu wa kuartibu wizi wa kura ambao Ghalib na maswahiba wake wamemwaga pesa nyingi sana ili kufanikisha wizi mkubwa wa kura katika historia ya Taif hili wakijua dhahiri Magufuli hana asilimia 30 ya kura za Watanzania.
Roho inauma
 
Hivi ni nani aligharimia upanuzi wa ofisi ya lumumba pamoja na ukarabati!?

cc: Mu-sir
 
Back
Top Bottom