Think tank wa CCM kumpangia mgombea wao Magufuli akamalizie kampeni zake DSM kwa siku tatu hizi ni upuuzi wa hali ya juu kwa sababu eneo hili la Dar ni kati ya maeneo ambayo wapiga kura wake wameisha fikia maamuzi hawahitaji tena Kampeni kuwabadilisha, hasa kampeni za rais.
Hadi muda huu wananchi wapiga kura wote wa Dar katika nafsi zao wanajua urais wampigie nani, so, nani kamdanganya Magufuli akaombe kura eneo hilo mida hii? Inahitaji elimu ya chuo kikuu kuweza kujua kwamba anapoteza muda bure?
Ni afadhari mala kumi angebaki kule kule kanda ya ziwa.