Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,292
- 1,866
Usiishi kuwafurahisha watu, ishi maisha yako.Habari za jioni.
Nipo mbioni kukusanya vilago vyangu kwenda kijijini kulijenga Taifa. Nimefanya kazi Kwa miaka 14 sasa...
Hakuna sehemu ngumu kumfukuza mtumishi kazi kama TAMISEMI.Itakuwa Tamisemi huko bila shaka, komaa Mzee
Kuna dada mmoja aliniharibia kazi mwaka 2017 ila nikafanikiwa kupata kwingine. Mpaka leo mwaka wa 5 ndani ya ndoa hana mtoto. Mkuu, karma is real. Kuna siku, baada ya miaka 3 hao hao watatafuta namba zako za simu kutaka kukuomba radhi. Mark my words.Habari za jioni.
Nipo mbioni kukusanya vilago vyangu kwenda kijijini kulijenga Taifa. Nimefanya kazi Kwa miaka 14 sasa.
Aise nimemshangaa sana, anaacha kazi ili kuwaridhisha wabaya wake.Usiishi kuwafurahisha watu, ishi maisha yako.
Habari za jioni.
Nipo mbioni kukusanya vilago vyangu kwenda kijijini kulijenga Taifa. Nimefanya kazi Kwa miaka 14 sasa.
Nakumbuka msemo wa kisicho riziki hakiliki. Nimwpambana vya kutosha kusalia kazini lakini mikono ya kupora riziki yangu imekuwa mingi na Kwa kasi kubwa.
Cha kushangaza wafanyakazi wenzangu nilikuwa nikiwaona wakifanya uhalifu na kuihujumu serikali bila woga na nilikaa kimya kuogopa kuwaharibia kazi zao.
Lakini hao hao wamekuwa wakali na wepesi sana katika kufuatilia vikosa vidogo sana nilivyofanya hadi kufikia kuniharibia Kwa mwajiri. Moyo wangu bila kushawishiwa na nikiwa na akili timamu unaniambiwa nipumzike nifanye mengine Kwa maana furaha yao mm nikose kazi. Sina option inabidi niache tu nisiwe kero kwa wengine.
Kwaherini my friends.
Katika kitu ambacho sitafanya ni kumharibia mtu kazi. Hiyo laana siitaki kabisa. Unafaidika na nini mtu akiachishwa kazi?Kuna dada mmoja aliniharibia kazi mwaka 2017 mpaka leo mwaka wa 5 ndani ya ndoa hana mtoto. Mkuu, karma is real. Kuna siku, baada ya miaka 3 hao hao watatafuta namba zako za simu kutaka kukuomba radhi. Mark my words.
Watu wabaya balaa yaanKatika kitu ambacho sitafanya ni kumharibia mtu kazi. Hiyo laana siitaki kabisa. Unafaidika na nini mtu akiachishwa kazi?