Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,786
- Thread starter
- #81
Inshallah, N kweli Paskali Usililie bahati ya mwenzako, ni ishara ya husda, wivu, roho mbaya,. Unanikumbusha Mutribu wa Taarab ya Ndugu wapendanao inayoghaniInsha Allah. Ni kweli kukataliwa kuchungu. Wenzetu Wataliano na watalii ndio wenye bahati.
" Vibaya kukataliwa tena ya Uchungu
Mwenzako amashavuna Pendo alopalilia"