Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru Karibu Mamlaka Kamili

MTOA HOJA KUWA MAKINI WASIJEKUTOA ROHO....MAANA WANAWEZADAI NI UCHOCHEZI KUTAKA KULETA HOJA ZA MUUNGANO ...MIMI SIMO MAANA SIJAPATA WA KUVAA SHATI LANGU
Ni kweli vigezo vya kosa la uchochezi kwa nia ya kutaka kuvunja muungano zinatimia, aandae hoja za kujibu hizo tuhuma.
 
Wenye nyoyo ziliosononeka na sura za huzuni, Viongozi wa Wandamizi TFF, jana walijivisha ngozi ya kondoo kujumuika na Wazanzibari kusheherekea ushindi mkubwa walioupata kukubaliwa kuwa mwanachama wa CAF,

Viongozi hawa wa TFF na wengine wenye fikra za mgando wamezisahau kauli zao za kusikitisha na kukatisha tamaa kuwa Zanzibar haiwezi kuwa mwanachama wa CAF kwa vile Zanzibar si " nchi" kamili

Kauli zao leo zinawasuta na wanajaribu kuzilainisha kwa kusema kuwa uwakilishi wa Tanzania sasa umepanuka zaidi.

TFF walijisahau kujua kwamba Zanzibar katika nyanja nyingi ikiwemo soka inajuulikana zamani kuliko Tanganyika. TFF walijisahau kuwa Zanzibar inaheshimiwa na nchi nyingi barani Afrika na wanajua kinachoendelea kuhusu mustakabali wa Zanzibar ndani ya Muungano.

Leo Bendera ya Zanzibar inapepea mjini Cairo, Makao Makuu ya CAF na wimbo wa Taifa huru la Zanzibar utaanza kunguruma barani Afrika na watu kulazimika kusimama kwa heshima.

Hiyo ndio Zanzibar tuitakayo:Kwaheri Ukoloni,Kwaheri Uhuru Karibu Mamlaka Kamili!
Walianza na uhitaji wa Rais wao Rais wa zanzibar. Wakati huo wa bara hayupo. Wakaja na wimbo wa Taifa. Zanzbr kisha vikosi vya zanzbr(majeshi) baadae..Bendera.. halafu katiba.. ya zanzibar! Kisha zikawepo vurugu za kudai kuvunja Muungano.. (jumuiya ya waislam zanzibar) leo tunashuhudia uanachama wa CAF. (Rais,Katiba,wimbo,Bendera.. watu.. Michezo kimataifa.!!) Nadhani huyu ni mtoto aliezaliwa(wazo) na sasa anaanza kutambaa. Soon tutashuhudia akikimbia na kutuacha ama kutoroka.!
 
South sudan kutoka sudan. Elitrea kutoka Ethiopia. Resotho ndani ya Afrika ya kusini Gambia ndani ya senegal..! Je kizazi kijacho kitashudia jambo jingine..?
 
Mkuu hapa umesema ukweli kabisa, ila wakati mwingine unajitoa ufahamu
Mkuu Mkwepa Kodi, siku zote mimi ni mkweli daima, ila tatizo letu wengi wetu wamechagua upande hivyo kwao wanapenda ukweli wa upande wao tuu, hivyo wakiambiwa ukweli wasio upenda ndipo huniita nimejitoa ufahamu.

Paskali
 
Kumtetea makonda ni kujitoa ufahamu hebu Ndugu yangu angalia kitendo alichofanya clouds
 
Walianza na uhitaji wa Rais wao Rais wa zanzibar. Wakati huo wa bara hayupo. Wakaja na wimbo wa Taifa. Zanzbr kisha vikosi vya zanzbr(majeshi) baadae..Bendera.. halafu katiba.. ya zanzibar! Kisha zikawepo vurugu za kudai kuvunja Muungano.. (jumuiya ya waislam zanzibar) leo tunashuhudia uanachama wa CAF. (Rais,Katiba,wimbo,Bendera.. watu.. Michezo kimataifa.!!) Nadhani huyu ni mtoto aliezaliwa(wazo) na sasa anaanza kutambaa. Soon tutashuhudia akikimbia na kutuacha ama kutoroka.!
Hii ndio Jaza ya hadaa, uonevu na dhulma. Jazaa hii hutegemee kuvunwa Panapo vitu hivyo vitatu hayo na uliotabiri lazima yatokee!
Mkuu Mkwepa Kodi, siku zote mimi ni mkweli daima, ila tatizo letu wengi wetu wamechagua upande hivyo kwao wanapenda ukweli wa upande wao tuu, hivyo wakiambiwa ukweli wasio upenda ndipo huniita nimejitoa ufahamu.

Paskali
Paskali usijivalishe kilemba kisichotosha kichwa chako. Wewe sio mkweli lakini ni Mzandiki usiejifahamu. Hutaki kuukubali ukweli na umeukukmbatia ufisadi(wa Kiswahili sanifu sio wa Kitanganyika)Uzandiki, Unokoa, Chuki za kikabila na visasi na msongo wa kukataliwa na Msichana Mzanizibari, Paskali haya ndio yanayokusumbua
South sudan kutoka sudan. Elitrea kutoka Ethiopia. Resotho ndani ya Afrika ya kusini Gambia ndani ya senegal..! Je kizazi kijacho kitashudia jambo jingine..?
Kizazi kijacho kitashudia kila panapo dhulma wa dhulumaji wataanikwa na kuadhiria shahiri dhahiri.
Walianza na uhitaji wa Rais wao Rais wa zanzibar. Wakati huo wa bara hayupo.
Mkuu Usiwe kama Paskali ukajitoa fahamu. Hao Marais wote waliowahi kuyitawala Tanzania ni wazaliwa wa wapi? Wote si watanganyika?Au bara ipi ulioikusudia? Fumbo mfumbie mjinga.
 
Paskali usijivalishe kilemba kisichotosha kichwa chako. Wewe sio mkweli lakini ni Mzandiki usiejifahamu. Hutaki kuukubali ukweli na umeukukmbatia ufisadi(wa Kiswahili sanifu sio wa Kitanganyika)Uzandiki, Unokoa, Chuki za kikabila na visasi na msongo wa kukataliwa na Msichana Mzanizibari, Paskali haya ndio yanayokusumbua
Kizazi kijacho kitashudia kila panapo dhulma wa dhulumaji wataanikwa na kuadhiria shahiri dhahiri.
Mkuu Usiwe kama Paskali ukajitoa fahamu. Hao Marais wote waliowahi kuyitawala Tanzania ni wazaliwa wa wapi? Wote si watanganyika?Au bara ipi ulioikusudia? Fumbo mfumbie mjinga.
Insha Allah. Ni kweli kukataliwa kuchungu. Wenzetu Wataliano na watalii ndio wenye bahati.

Siye machogo bahati tutoe wapi hadi tukubaliwe?. Na kiukweli Wasukuma wanavyopenda wanawake weupe, na wanawake wa Kizanzibari walivyo weupe, halafu itokee Msukuma kukataliwa na cheupe!.

Naomba kuchukua fursa hii kuwatangazia wasio jua kuwa kati ya wanawake wote Tanzania nzima, wanawake wagumu kabisa kuwapata ni wanawake wa kizenji, hadi mimi nimekataliwa!.

Una maana ni wagumu kuolewa au kutumiwa? Au ni wagumu kupatikana maana wanafungiwa uani siku zote kaa kuku wa kisasa vile.
 
Uhuru kamili....nyimbo ya taifa...bebdera kupepea Cairo... But mwsho wa siku...mnajazana dodoma kuchaguliwa viongozi...UKAMILI WENU UKO WAPI?
 
Back
Top Bottom