Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru Karibu Mamlaka Kamili

Wenye nyoyo ziliosononeka na sura za huzuni, Viongozi wa Wandamizi TFF, jana walijivisha ngozi ya kondoo kujumuika na Wazanzibari kusheherekea ushindi mkubwa walioupata kukubaliwa kuwa mwanachama wa CAF,

Viongozi hawa wa TFF na wengine wenye fikra za mgando wamezisahau kauli zao za kusikitisha na kukatisha tamaa kuwa Zanzibar haiwezi kuwa mwanachama wa CAF kwa vile Zanzibar si " nchi" kamili

Kauli zao leo zinawasuta na wanajaribu kuzilainisha kwa kusema kuwa uwakilishi wa Tanzania sasa umepanuka zaidi.

TFF walijisahau kujua kwamba Zanzibar katika nyanja nyingi ikiwemo soka inajuulikana zamani kuliko Tanganyika. TFF walijisahau kuwa Zanzibar inaheshimiwa na nchi nyingi barani Afrika na wanajua kinachoendelea kuhusu mustakabali wa Zanzibar ndani ya Muungano.

Leo Bendera ya Zanzibar inapepea mjini Cairo, Makao Makuu ya CAF na wimbo wa Taifa huru la Zanzibar utaanza kunguruma barani Afrika na watu kulazimika kusimama kwa heshima.

Hiyo ndio Zanzibar tuitakayo:Kwaheri Ukoloni,Kwaheri Uhuru Karibu Mamlaka Kamili!
Suala la Zanzibar kuwa mwanachama wa CAF sio dogo..wahusika wanajua uzuri na ubaya wa hilo.
dhana ya muungano na umuhimu wa zenji kuwa nchi kamili yenye mamlaka yake hakika ni kama imepata mwamko
 
Sizonje hawezi tia neno CAF ila kwenye govt hata miguu mtavunjwa mkidai Uhuru
 
Naomba kujuzwa, kuna nchi yenye ukubwa kama wa Zanzibar duniani.
kaka usiwe mvivu wa kufanya utafiti,si unaingia kusoma umbea kwenye JF na kutoka,jaribu kuingia kwenye google andika "what is the smallest country in the world" utapata jibu...
https://simple.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_area,,,,,Hapanimeona Tanzania imeipita Nigeria kwa kilometer za mraba,Lakini Nigeria imeipita Tanzania kwa wingi watu..,jishuhulishe uatafanikiwa tafuta elimu ufute ujinga
 
Kuvuja kwa pakacha ni nafuu ya mchukuzi. Wacha livuje tu, tutapata hata nafuu ya kutoa umeme wa bure.
 
Hongereni sana wenzetu wa Zanzibar, hii admission ya CAF ni mwanzo mzuri kuelekea Mamlaka kamili. Hatua ya pili ni Fifa, hatua ya tatu AU, hatua ya 4, UN na hatua ya mwisho ndipo tugawane fito na kupeana mkono wa Kwaheri. Tumechoka kuwabeba kila siku watu hawabebeki, umeme bure, mishahara bure, elimu bure, ajira bure, shukrani hawana kila siku ni ghubu mwanzo mwisho, bora muende, tena muende salama ila sio siri, tutawamisi sana.

Paskali
Kwel mkuu wamezid sana vimidomo na wana kelele unazan wanachangia maendeleo yetu huku bara .afu naona wao ndiyo wataumia maana nyumba na mali za wapemba huku Tanganyika zitapotea

Afu pia hao wapemba na wa unguja wao tu huko hawapendani waachee kama hutasikia Pemba ikiijita taifa na unguja taifa
 
Hongereni sana wenzetu wa Zanzibar, hii admission ya CAF ni mwanzo mzuri kuelekea Mamlaka kamili. Hatua ya pili ni Fifa, hatua ya tatu AU, hatua ya 4, UN na hatua ya mwisho ndipo tugawane fito na kupeana mkono wa Kwaheri. Tumechoka kuwabeba kila siku watu hawabebeki, umeme bure, mishahara bure, elimu bure, ajira bure, shukrani hawana kila siku ni ghubu mwanzo mwisho, bora muende, tena muende salama ila sio siri, tutawamisi sana.

Paskali
Tutakuwa tunatembeleana kama zamani tulivyokuwa tunatumia passport kwenda Zanzibar.
 
Tatizo la Zanzibar ni waunguja kuwabagua wapemba.....hivyo kufanya wapemba woote na akili zao za ujasiriamali kuona bara ndiko Salama zaidi kwao kuwekeza kuliko Zenji..waunguja sorry to say but extremely lazy dudes...wao wako busy na muungano...hivyo hata mkiupata uhuru kamili kama hamtobadilika, lazma wapemba ambao wapo fit kiuchumi na shule, watawapindua na kuwatawala kama Hutus in Rwanda....
 
Magu hana habari na zanzibar, hope atawaachia uhuru wenu
Magu hana issue na Muungano ila Muungano kuvunjika ni ngumu maana unalindwa kwa nguvu zote na mataifa ya Magharibi ( USA na wenzake) dhidi ya yale mataifa ya Mashariki(Urusi, Arabs etc.)
 
Kati ya makosa yatakayofanyika ni kuvunja Muungano na kuwapa Wazanzibar mamlaka kamili.......
Kwani huu muungano unatusaidia nini?.....Zanji ni koloni lenye hasara kwa Tanganyika na linalowanyonya wazanzibar lakini lenye faida kwa CCM.
 
Kwa kuongezea tuu, watu hasa wanaotaka uhuru wa Zenji si waunguja ni wapemba ndio maana CCM wanashinda kiulainii unguja..ila Pemba kwao mwiba mchungu...waunguja wazi wanajua bila muungano hawawawezi wapemba watatawaliwa tuu milele...na wapemba kikwazo kikuu cha kuwatawala waunguja na Zanzibar kwa ujumla ni muungano...kule kuna ukabila mwisho...wakipata uhuru leo kesho vita kati ya mtumwa na master wake...au watengane tena...ambalo Mpemba hatokubali...
 
Kuna ile kiapo huwa anaapa CDF kwamba ataulinda muungano kwa nguvu zote zilizopo huwa nasisimkwa sana
 
Wenye nyoyo ziliosononeka na sura za huzuni, Viongozi wa Wandamizi TFF, jana walijivisha ngozi ya kondoo kujumuika na Wazanzibari kusheherekea ushindi mkubwa walioupata kukubaliwa kuwa mwanachama wa CAF,

Viongozi hawa wa TFF na wengine wenye fikra za mgando wamezisahau kauli zao za kusikitisha na kukatisha tamaa kuwa Zanzibar haiwezi kuwa mwanachama wa CAF kwa vile Zanzibar si " nchi" kamili

Kauli zao leo zinawasuta na wanajaribu kuzilainisha kwa kusema kuwa uwakilishi wa Tanzania sasa umepanuka zaidi.

TFF walijisahau kujua kwamba Zanzibar katika nyanja nyingi ikiwemo soka inajuulikana zamani kuliko Tanganyika. TFF walijisahau kuwa Zanzibar inaheshimiwa na nchi nyingi barani Afrika na wanajua kinachoendelea kuhusu mustakabali wa Zanzibar ndani ya Muungano.

Leo Bendera ya Zanzibar inapepea mjini Cairo, Makao Makuu ya CAF na wimbo wa Taifa huru la Zanzibar utaanza kunguruma barani Afrika na watu kulazimika kusimama kwa heshima.

Hiyo ndio Zanzibar tuitakayo:Kwaheri Ukoloni,Kwaheri Uhuru Karibu Mamlaka Kamili!
Mwendo mdogomdogo mpaka dunia inanza kukata minyororo ya utumwa znb
 
yani huu muungano na hawa wazanzibari unatia hasira uvunjwe tu

binafsi yangu sijaona maslahi yake zaidi ya kujikombakomba na kujipendekeza, kwanza bara nchi yetu kubwa, hawa wa visiwani hawana ishu ni wa kutemwa tu, pambav zao
Huu ndio mwanzo wa wazanzibar kujitawala ndio maana nsprnda mpira mimi .
 
Hongereni sana wenzetu wa Zanzibar, hii admission ya CAF ni mwanzo mzuri kuelekea Mamlaka kamili. Hatua ya pili ni Fifa, hatua ya tatu AU, hatua ya 4, UN na hatua ya mwisho ndipo tugawane fito na kupeana mkono wa Kwaheri. Tumechoka kuwabeba kila siku watu hawabebeki, umeme bure, mishahara bure, elimu bure, ajira bure, shukrani hawana kila siku ni ghubu mwanzo mwisho, bora muende, tena muende salama ila sio siri, tutawamisi sana.

Paskali
Mkuu hapa umesema ukweli kabisa, ila wakati mwingine unajitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom