Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru Karibu Mamlaka Kamili

Insha Allah. Ni kweli kukataliwa kuchungu. Wenzetu Wataliano na watalii ndio wenye bahati.
Inshallah, N kweli Paskali Usililie bahati ya mwenzako, ni ishara ya husda, wivu, roho mbaya,. Unanikumbusha Mutribu wa Taarab ya Ndugu wapendanao inayoghani
" Vibaya kukataliwa tena ya Uchungu
Mwenzako amashavuna Pendo alopalilia"
 
whats the news kuna maraisi wengine wanaenda kazini kwa baiskeli itakuwa basi kwenda ubungo halafu linaishia ikulu kipya kipi
 
Back
Top Bottom