Kwaheri mchepuko Wangu

Kwaheri mchepuko Wangu

Ndg yangu mtoa mada kuna kanuni za kuchepuka umezikiuka ndio maana unapata matatizo. Kwanza huyo dada sio mchepuko hiyo ni nyumba ndogo yako ambayo unaionea wivu na unataka kuimiliki peke yako kitu ambacho ni kinyume na utaratibu wa uchepukaji maana ukitaka kuwa alone hapo na mdada atataka akumiliki ndio pale unapotelekeza familia au kushtukiwa na mkeo. Ukitaka kuchepuka tafuta mtu mwenye jamaa (ila asiwe ameolewa) ili kama akiwa anahitaji tulizo anamtafuta jamaa yake na wewe unamega kipindi mnapopata nafasi, kumiliki demu peke yako wakati una mke lazima huyo demu atazingua kwa kuwa hutakuwa unamtimizia mahitaji yake ya kimwili haswa usiku wakati huko na mkeo. Natamani nikupe somo refu ila muda ndio hauruhusu

Gharama pia hupungua..
 
Tafuta mchepuko wa kigosi kule kule nyumbani upate mgoshi mwenzio
 
asa mkuu kama umeamua kumuacha...wewe muache kwa maana kila mtu huwa na kitu kile roho yake inapenda...kama anakukwaza...amepoteza vigezo vinavyopendwa na moyo wako..
 
Wakuu poleni kwa majukumu. Kabla hujafa hujaumbika ( unaweza pia kukumbuka). Miaka mitatu (3) iliyopita nilitokea kumpenda mdada mmoja wa kimachame kama mchepuko (maana nimeona na Nina familia). Tuliishi kwa amani na utulivu Mimi na huyo mchepuko...bila kuathiri Huduma za msingi za familia yangu. Cha kushangaza kila muda unavyo kwenda anaongeza wivu na Mimi kiasi ambacho kuna muda ana ninunia na kuona eti naegamia kwenye familia tu. Nikaanza kushtuka...! Miez 2 iliyo pita tuli gombana kidogo akanitumia Ujumbe wa kuniacha , nika kuomba radhi yakaisha.

Jana nili kwenda Ku mpick maeneo ya mbuyuni pale Morocco, nilipo fika kituoni nika park , hayupo abadai yuko ofisini anakuja. Aka nikalisha sana. Ulikuwa muda wa SAA 12 hivi. Akaja....nilivyo muuliza kwanini amechelewa na pale hakuna parking aka ninunia. Mpaka muda huu kanyamaza na Jana hukupokea simu ..anasema hutaki kuongea. NIWE MUWAZI nampenda huyu binti...ila naona kama ana ni mistreat. Mwenge ushauri wowote naomba plz. Ila Nina nia ya kumuacha rasmi.

Ni hayo tu .

Kuegemea kwenye familia tu siyo vizuri buana!
 
Ungesoma engineering usingeli kuwa una BWABWAJA katika uandishi wako....

Sio "nimeona na nina familia" sema "nimeoa na nina familia"

Sio "nikakuomba radhi" sema "nikamuomba radhi"

Sio "abadai yuko ofisini" sema "anadai yuko ofisini"

Sio hukupokea simu" sema "hakupokea simu"

Sio "hutaki kuongea" sema "hataki kuongea"

Sio "Mwenge ushauri wowote" sema "Mwenye ushauri wowote"

Mlikua wapi kusoma Engineering.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
nahisi tatizo lake ni ..kupatwa kwa smart phone cc mshana jr
 
Jaribu kumshirikisha mkeo hili jambo ila fanya kama unamhadithia kisa cha mtu flani.
Atakachoshauri fanyia kazi.
Hapo chacha itakua chawa na kumwambia ntu aende kituo cha polichi akiwa na chupa gongo mkononi na huku akiwa anavuta bhangi.
 
Back
Top Bottom