Ivi engineer sio 'nshomile' kweli?Ungesoma engineering usingeli kuwa una BWABWAJA katika uandishi wako....
Sio "nimeona na nina familia" sema "nimeoa na nina familia"
Sio "nikakuomba radhi" sema "nikamuomba radhi"
Sio "abadai yuko ofisini" sema "anadai yuko ofisini"
Sio hukupokea simu" sema "hakupokea simu"
Sio "hutaki kuongea" sema "hataki kuongea"
Sio "Mwenge ushauri wowote" sema "Mwenye ushauri wowote"
Mlikua wapi kusoma Engineering.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Thanx. Yote mawili nime elewaKi ukwel kinachotokea hapo ni mazoea yaliyoptliza akiwa na confidence kwamba huwez kupindua kwake...
ushauri wa kwanza piga chin mchepuko lea ndoa yako
ushaur wa pili na naamin ndio utauelewa mpe likzo isyo na malipo huo mchepuko ushike adabu ukiona hakuna mabadiliko jua kashapatikana mshika mapembe mwengine ambaye anampa jeur so ukiona hilo rudi namba moja hapo juu.
Poa poa mkuuThanx. Yote mawili nime elewa
Mkuu mbona haujitambui?Wakuu poleni kwa majukumu. Kabla hujafa hujaumbika ( unaweza pia kukumbuka). Miaka mitatu (3) iliyopita nilitokea kumpenda mdada mmoja wa kimachame kama mchepuko (maana nimeona na Nina familia). Tuliishi kwa amani na utulivu Mimi na huyo mchepuko...bila kuathiri Huduma za msingi za familia yangu. Cha kushangaza kila muda unavyo kwenda anaongeza wivu na Mimi kiasi ambacho kuna muda ana ninunia na kuona eti naegamia kwenye familia tu. Nikaanza kushtuka...! Miez 2 iliyo pita tuli gombana kidogo akanitumia Ujumbe wa kuniacha , nika kuomba radhi yakaisha.
Jana nili kwenda Ku mpick maeneo ya mbuyuni pale Morocco, nilipo fika kituoni nika park , hayupo abadai yuko ofisini anakuja. Aka nikalisha sana. Ulikuwa muda wa SAA 12 hivi. Akaja....nilivyo muuliza kwanini amechelewa na pale hakuna parking aka ninunia. Mpaka muda huu kanyamaza na Jana hukupokea simu ..anasema hutaki kuongea. NIWE MUWAZI nampenda huyu binti...ila naona kama ana ni mistreat. Mwenge ushauri wowote naomba plz. Ila Nina nia ya kumuacha rasmi.
Ni hayo tu .
toka kw mchepuko, usije iletea family yako Nuksi.

wanawake wanashauri utadhani nao wakiolewa hawachepuki duhachana na hiyo itakugharimu soon or later.. kuwa mwanaume si kudinda na kuchomeka kwenye kila uke.. mwanaume anayejielewa anayeheshimu familia yake na kuangalia future ya familia yake kimaendeleo, HAKUNA MWANAUME ALIYEWEKEZA KWENYE MBUNYE AKAFANIKIWA ZAIDI WANAKUPOTEZEA MUDA.. REFER TO KING SOLOMON.......... familia yako kwanza mkuu... embu kaa mwezi bila kuchepuka bila kutongoza mwanagalie mkeo alivyoumbika mpe nafasi yake mtoe out uone kama hutafurahia maisha
sichepukiwanawake wanashauri utadhani nao wakiolewa hawachepuki duh
Nime kuelewa mkuuMkuu mbona haujitambui?
Heading - maamuzi yamefanyika,
Contents - bhlaa bhlaa nyingi na kutaka ushauri.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hayo mambo yanahitaji ujasiri mkubwa na uvumilivu. Usiyumbe wala kuyumbishwa. Ukishindwa waachie Wenyewe wee rudi kuitunza family.
Family haitaji sononeko![]()
![]()
toka kw mchepuko, usije iletea family yako Nuksi.
Michepuko mingine balaaa.....![]()
![]()
![]()
Nime kuelewa mkuu. But it happens some times kuto jitambua. ThanxMkuu mbona haujitambui?
Heading - maamuzi yamefanyika,
Contents - bhlaa bhlaa nyingi na kutaka ushauri.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hayo mambo yanahitaji ujasiri mkubwa na uvumilivu. Usiyumbe wala kuyumbishwa. Ukishindwa waachie Wenyewe wee rudi kuitunza family.
Family haitaji sononeko![]()
![]()
toka kw mchepuko, usije iletea family yako Nuksi.
Michepuko mingine balaaa.....![]()
![]()
![]()
Nimecheka bila kutegemea.Ungesoma engineering usingeli kuwa una BWABWAJA katika uandishi wako....
Sio "nimeona na nina familia" sema "nimeoa na nina familia"
Sio "nikakuomba radhi" sema "nikamuomba radhi"
Sio "abadai yuko ofisini" sema "anadai yuko ofisini"
Sio hukupokea simu" sema "hakupokea simu"
Sio "hutaki kuongea" sema "hataki kuongea"
Sio "Mwenge ushauri wowote" sema "Mwenye ushauri wowote"
Mlikua wapi kusoma Engineering.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
future ya familia yangu ninayo mimi nitaisimamiaMuhimu kuijali na kuitunza family...
![]()
![]()
![]()
![]()
Ungesoma engineering usingeli kuwa una BWABWAJA katika uandishi wako....
Sio "nimeona na nina familia" sema "nimeoa na nina familia"
Sio "nikakuomba radhi" sema "nikamuomba radhi"
Sio "abadai yuko ofisini" sema "anadai yuko ofisini"
Sio hukupokea simu" sema "hakupokea simu"
Sio "hutaki kuongea" sema "hataki kuongea"
Sio "Mwenge ushauri wowote" sema "Mwenye ushauri wowote"
Mlikua wapi kusoma Engineering.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Na wewe dogo na huo uinjinia wako unakuwa kama ndio wa kwanza kusoma engineering asee, kua basi ukomae kidogo jamii ione uinjinia ndani yako da!
Mkuu hongera sana kw ujasiri wa kutokeza hapa hadharani.. Ni kujitambua huko.Nime kuelewa mkuu. But it happens some times kuto jitambua. Thanx
Hah hah hahfuture ya familia yangu ninayo mimi nitaisimamia
shemeji lazima alete pesa nipangie matumiziHah hah hah![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Usimtenge Shemejiii...
Family hujengwa pamoja.