🙂Nawatakia jf ,..members na wapitaji,
😉waanzisha nyuzi na wachangiaji,
🙁watoa hoja na wachakachuaji,
😱makuruta na wajeda ktk mada,
😡watoa ban na wasababishaji,
😱wagumu na mikate ndani yachai,
:xvisiki woote na vibendera,
:*mashostito na mabestito,
😎wakubwa na wadogo,
🙂old na new dudes,
yani woooooote kabisa...
Nawapenda sana coz kwa namna moja au nyingine nimejifunza kitu kutoka kwenu.
Niliowakosea mnisamehe sana,;(nami nimewasamehe.
😀
BAK thanx for ze sredi...
Hmmmmuahhhh:*:*
😉Happy New yeaaarrrr 2013
😀