Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Mkuu sijakuelewa. Hebu nenda bank ukanunue kwacha uone utainunua kwacha 1 kwa shilingi ngapi?
Mkuu sijakuelewa. Hebu nenda bank ukanunue kwacha uone utainunua kwacha 1 kwa shilingi ngapi?
Duh! Kweli mkuu wewe kiazi. Samahani lakini.Kuanzia E. Lungu alivyoingia si alipunguza sifuri tatu kwenye sarafu yao????
Thamani iko pale pale sema wamefanya hivyo ili kuondoa mzigo wa manoti
Hajielewi, mi mwenyewe nimetoka Lusaka kama wiki 3 zilizopita, hela yao ina nguvu sana kwa sasa, hata Mimi nilijiuliza sanaDuh! Kweli mkuu wewe kiazi. Samahani lakini.
Sasa we msukuma sijui vipi! We umeleta hoja ijadiliwe, unajibiwa unatukana watu!Duh! Kweli mkuu wewe kiazi. Samahani lakini.
Dah...Acha ujinga banaaDuh! Kweli mkuu wewe kiazi. Samahani lakini.
Duh! Kweli mkuu wewe kiazi. Samahani lakini.
Sasa we msukuma sijui vipi! We umeleta hoja ijadiliwe, unajibiwa unatukana watu!
Umenikumbusha mwalimu Chodota!huu uzi umefanya nimkumbuke mwalimu wa commerce kidato cha pili yule ticha alikuwa anapiga stiki mbaya mzee Temu noma sana
Mkuu nashindwa hata niongeaje yaani. Kwa ufupi kwacha 1 ina thamani ya shilingi 170. Hizo story za kupunguza masifuri ni irrelevant.Asante mkuu
Naomba upitie hapa. Hii ilitokea 2013
Inaitwa "Redenomination of currency"
Zambia : Redenomination of the Zambian Kwacha
Lusaka - Zambia: By Choolwe Muzyamba(Economist)www.lusakatimes.com
Iko ivi ukiwa na Zambian kwacha moja (1) ni sawa na kuwa na tanzanian shilings mia moja na sabini (170) kwa upande wa dola ya marekani ukiwa na US dolar moja (1) ni sawa na kuwa na tanzania shilings elfu mbili mia tatu na kumi na tano (2315) kwa upande wa majirani zetu wa kenya ukiwa na kenyan shiling moja (1) ni sawa na kuwa na tanzania shiling ishirini na tatu (23) natumaini unaweza kuona nguvu ya kwacha ya zambia.Muda mwingine thamani ya pesa ni purchasing power take, hapa namaanisha kitu sh 170 ya Bongo inaweza kununua vitu sawa na yule mwenye Kwacha 100 huko Zambia. Kwa mfano sh 170 unapata chumvi robo kilo, je Kwacha 100 unapata chumvi robo huko Zambia?
Tuanzie hapo kwanza kwa simple logic za uchumi
Hit direct to the Ntonku
Mkuu nashindwa hata niongeaje yaani. Kwa ufupi kwacha 1 ina thamani ya shilingi 170. Hizo story za kupunguza masifuri ni irrelevant.
Mkuu miaka ya nyuma shilingi ilikuwa na nguvu kuzidi kwacha lakini kwa sasa imekuwa kinyume. Hiki ndio msingi wa hili bandiko. So unachoongea wewe kipo nje ya bandiko. Au wewe hujui kuwa kwacha ilikuwa dhaifu dhidi ya shilingi lakini sasa kwacha ina nguvu zaidi ya shilingi?Sasa kwa kutoelewa kwako ndo tatizo lile jina uliloniita mimi. Na pengine haya mambo yako nje ya uwezo wako. Ungekua unaelewa hicho nilichokuwekea kuwa wanapunguza sifuri ila thamani ni ile ile ungeelwwa kuwa hio 170/180 tunayonunulia pale Kazungula ina thamani gani