Inauma,Ina huzunisha
But no way out 🪫😭🙆
Kama ndo kutafuta attention hii mbinu ni hapana ..Wanapenda wasikike wao tu na cha kuandika hawana na hata wakiandika wanajibiwa kwa hoja na mwisho wake wanaandika lugha za matusi
Issue ni za kitoto tu! Hatuna watu serious mtu akivuka mstari! It's too late ....
Ishu ni dipu sana Ila pia kuna asilimia nyingine nyingi kwamba ni zilezile bongo movie kuelekea 92OM
Karata zilichangwa na bwana tabasamu ili no 2 akae damu yake.. Ilk ndoto ilitimie ama itimizwe kwa by fosi by pawa.. Si mnakumbuka ile ngoma ya ...Ongea na mshua? Street noma kimenuka?
Sasa haya mafyekele ya cheusi bonge kuchomeka kuzidi makaa ya mawe yaliyounguzwa! kumewaumiza wengi sana .. Maaana kwenye kikoba chao, cheusi bonge ndio alikuwa kijumbe
Shida moja ya kikoba.. Kijumbe ndio hukaa na mshiko wote.. Sasa cheusi kachomeka kuzidi mkaa na hajaacha wosia wa kibubu kilipo🤣
Waswahel wanasema kufwa kufaana.. Hakuna aliyekubali kwamba anajua kibubu kilipo hata baada ya kufunga safari ya siri ili akaambulie walau masalia.. Wakamwambia hakuna hata senti mbovu🤣🙌🏿😭
Hata wewe ungetamani ardhi ipasuke mapande mawili ujichimbie..kijumbe kawaweza wengi... Wengine milango ya mbele imeshapindika kwa taharuki
Sasa bwana tabasamu angefanikiwa kamari yake angeshatangaza hali tete.. Kwenye hili anastahili pole maana hakupigwa chenga ya mwili tuu bali mpaka ya kivuli😀
Pande alilopasiwa masikio ya popo.. Limemuumiza mno bwana tabasamu maana ingekuwa sasa meno 32 yote nje.. Maana ingekuwa kama kumsukuma mlevi tu🙌🏿🤣
Vichogo vimepigwa bao la maudhi.. Taharuki ikiisha turudi uwanjani
Whatever the case.. Kitanda alichomazia mwendo mwingine si vema kumlaza mfuatizi.. NI UCHURO..!!!
Ishu no dipu sana na fukuto linazidi kila uchao..😎
View: https://www.instagram.com/reel/DeNXedeTxAN/?vrfl=MTQ2ZmFybm5jOWI5bw==
Acha wavurugane,vita vya panzi furaha ya kunguru.
Kwahiyo umevamia tu kambi 😅Hata selewi vzr 😅 Ila nahisi ni ishu za politics
Sir Wicknell, hivi atuwezi kwenda kudai vtu vyetu huko kwao? Mshana Jr
Sir Wicknell, hivi atuwezi kwenda kudai vtu vyetu huko kwao? Mshana Jr
Wakishusha Tanga kabla ya 3Nov basi maana yake mhogo mchongo atamaliza miaka 4 halafu atapiga 5 halafu atatoka ataachia pale Kona ya msata